Sura zote Vyanzo na toleo Kiswahili · Mathayo
Mathayo 19 Nani, nini, kwa nini, lini, wapi na jinsi — utangulizi wa kitabu
English · Español · Kiswahili Jinsi ya kutumia uchunguzi wa maneno ya Kigiriki Huhitaji kujua kusoma Kigiriki ili kuanza. Gusa neno lililopigiwa mstari katika mstari wa Kigiriki au wa Kigiriki kilichoandikwa kwa herufi za Kilatini: yote mawili yanafungua ingizo lilelile. Data inapopatikana kwa uhakika, utaona umbo la neno katika kamusi, sarufi, namba ya Strong na maana. Chagua “Zaidi kuhusu maana na sarufi” ili kuona maelezo zaidi. Buruta upau wa juu ili kusogeza paneli, na sogeza yaliyomo ndani yake ili kuendelea kusoma. Kitufe cha “Funga” hubaki kuonekana.
Mstari wa vipande unaonyesha kwamba uchanganuzi haupatikani; mstari maradufu unaonyesha kwamba ingizo la kamusi halipatikani. Hatujazii mapengo haya kwa kubahatisha. Kamusi hutoa maana zinazowezekana; muktadha huamua maana inayofaa katika kifungu. Maandishi yetu ya Biblia, Kigiriki na herufi za Kilatini hayajabadilishwa.
RASIMU KWA UHAKIKI: Maana za kamusi kwa Kiswahili ni tafsiri za kiotomatiki za ufafanuzi wa Kiingereza wa Dodson, pamoja na masahihisho maalumu. Bado zinahitaji uhakiki wa mwandishi na wa lugha. Ufafanuzi wa awali wa Kiingereza unapatikana katika maelezo yaliyopanuliwa. Alama hii ya rasimu inahusu maana za kamusi pekee, si maandishi yaliyokamilika ya Biblia.
Soma kuhusu vyanzo na upeo wa matumizi →
Washa JavaScript ili kutumia uchunguzi wa maneno. Sura Mathayo 1 Mathayo 2 Mathayo 3 Mathayo 4 Mathayo 5 Mathayo 6 Mathayo 7 Mathayo 8 Mathayo 9 Mathayo 10 Mathayo 11 Mathayo 12 Mathayo 13 Mathayo 14 Mathayo 15 Mathayo 16 Mathayo 17 Mathayo 18 Mathayo 19 Mathayo 20 Mathayo 21 Mathayo 22 Mathayo 23 Mathayo 24 Mathayo 25 Mathayo 26 Mathayo 27 Mathayo 28 Tafuta katika sura hii
MATHAYO 19:1 TWMC · Kiswahili
Yesu alipomaliza maneno hayo, aliondoka Galilaya, akafika katika maeneo ya Uyahudi ng'ambo ya Yordani.
KJV · English
And it came to pass, that when Jesus had finished these sayings, he departed from Galilee, and came into the coasts of Judaea beyond Jordan;
Kigiriki
Καὶ ἐγένετο ὅτε ἐτέλεσεν ὁ Ἰησοῦς τοὺς λόγους τούτους, μετῆρεν ἀπὸ τῆς Γαλιλαίας, καὶ ἦλθεν εἰς τὰ ὅρια τῆς Ἰουδαίας πέραν τοῦ Ἰορδάνου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai egeneto hote etelesen ho Iēsous tous logous toutous, metēren apo tēs Galilaias, kai ēlthen eis ta horia tēs Ioudaias peran tou Iordanou.
MATHAYO 19:2 TWMC · Kiswahili
Makundi makubwa yakamfuata, naye akawaponya huko.
KJV · English
And great multitudes followed him; and he healed them there.
Kigiriki
Καὶ ἠκολούθησαν αὐτῷ ὄχλοι πολλοί, καὶ ἐθεράπευσεν αὐτοὺς ἐκεῖ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai ēkolouthēsan autō ochloi polloi, kai etherapeusen autous ekei.
MATHAYO 19:3 TWMC · Kiswahili
Mafarisayo wakamjia kumjaribu,
wakimuuliza, “Je, ni halali mtu kumtaliki mke wake kwa sababu yoyote ile?”
KJV · English
¶ The Pharisees also came unto him, tempting him, and saying unto him, Is it lawful for a man to put away his wife for every cause?
Kigiriki
Καὶ προσῆλθον αὐτῷ οἱ Φαρισαῖοι πειράζοντες αὐτόν, καὶ λέγοντες αὐτῷ, Εἰ ἔξεστιν ἀνθρώπῳ ἀπολῦσαι τὴν γυναῖκα αὐτοῦ κατὰ πᾶσαν αἰτίαν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai prosēlthon autō hoi Pharisaioi peirazontes auton, kai legontes autō, Ei exestin anthrōpō apolysai tēn gynaika autou kata pasan aitian?
MATHAYO 19:4 TWMC · Kiswahili
Akajibu, “Hamjasoma kwamba Yule aliyewaumba tangu mwanzo aliwaumba mwanamume na mwanamke,
KJV · English
And he answered and said unto them, Have ye not read, that he which made them at the beginning made them male and female,
Kigiriki
Ὁ δὲ ἀποκριθεὶς εἶπεν αὐτοῖς, Οὐκ ἀνέγνωτε ὅτι ὁ ποιήσας ἀπ’ ἀρχῆς ἄρσεν καὶ θῆλυ ἐποίησεν αὐτούς,
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de apokritheis eipen autois, Ouk anegnōte hoti ho poiēsas ap’ archēs arsen kai thēly epoiēsen autous,
MATHAYO 19:5 TWMC · Kiswahili
akasema, ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?
KJV · English
And said, For this cause shall a man leave father and mother, and shall cleave to his wife: and they twain shall be one flesh?
Kigiriki
καὶ εἶπεν, Ἕνεκεν τούτου καταλείψει ἄνθρωπος τὸν πατέρα καὶ τὴν μητέρα, καὶ προσκολληθήσεται τῇ γυναικὶ αὐτοῦ, καὶ ἔσονται οἱ δύο εἰς σάρκα μίαν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai eipen, Heneken toutou kataleipsei anthrōpos ton patera kai tēn mētera, kai proskollēthēsetai tē gynaiki autou, kai esontai hoi dyo eis sarka mian?
MATHAYO 19:6 TWMC · Kiswahili
Kwa hiyo si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
KJV · English
Wherefore they are no more twain, but one flesh. What therefore God hath joined together, let not man put asunder.
Kigiriki
Ὥστε οὐκέτι εἰσὶν δύο, ἀλλὰ σὰρξ μία. Ὃ οὖν ὁ θεὸς συνέζευξεν, ἄνθρωπος μὴ χωριζέτω.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hōste ouketi eisin dyo, alla sarx mia. Ho oun ho theos synezeuxen, anthrōpos mē chōrizetō.
MATHAYO 19:7 TWMC · Kiswahili
Wakamwambia, “Basi kwa nini Musa aliamuru kumpa hati ya talaka na kumwacha?”
KJV · English
They say unto him, Why did Moses then command to give a writing of divorcement, and to put her away?
Kigiriki
Λέγουσιν αὐτῷ, Τί οὖν Μωσῆς ἐνετείλατο δοῦναι βιβλίον ἀποστασίου, καὶ ἀπολῦσαι αὐτήν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legousin autō, Ti oun Mōsēs eneteilato dounai biblion apostasiou, kai apolysai autēn?
MATHAYO 19:8 TWMC · Kiswahili
Akawaambia, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.
KJV · English
He saith unto them, Moses because of the hardness of your hearts suffered you to put away your wives: but from the beginning it was not so.
Kigiriki
Λέγει αὐτοῖς ὅτι Μωσῆς πρὸς τὴν σκληροκαρδίαν ὑμῶν ἐπέτρεψεν ὑμῖν ἀπολῦσαι τὰς γυναῖκας ὑμῶν∙ ἀπ’ ἀρχῆς δὲ οὐ γέγονεν οὕτως.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legei autois hoti Mōsēs pros tēn sklērokardian hymōn epetrepsen hymin apolysai tas gynaikas hymōn; ap’ archēs de ou gegonen houtōs.
MATHAYO 19:9 TWMC · Kiswahili
Nami nawaambia, yeyote anayemtaliki mke wake, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, na kuoa mwingine, anafanya uzinzi. Na anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka anafanya uzinzi.”
KJV · English
And I say unto you, Whosoever shall put away his wife, except it be for fornication, and shall marry another, committeth adultery: and whoso marrieth her which is put away doth commit adultery.
Kigiriki
Λέγω δὲ ὑμῖν ὅτι ὃς ἂν ἀπολύσῃ τὴν γυναῖκα αὐτοῦ, μὴ ἐπὶ πορνείᾳ, καὶ γαμήσῃ ἄλλην, μοιχᾶται∙ καὶ ὁ ἀπολελυμένην γαμήσας μοιχᾶται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legō de hymin hoti hos an apolysē tēn gynaika autou, mē epi porneia, kai gamēsē allēn, moichatai; kai ho apolelymenēn gamēsas moichatai.
MATHAYO 19:10 TWMC · Kiswahili
Wanafunzi wake wakamwambia, “Ikiwa ndivyo ilivyo kati ya mume na mke, si afadhali kutooa?”
KJV · English
¶ His disciples say unto him, If the case of the man be so with his wife, it is not good to marry.
Kigiriki
Λέγουσιν αὐτῷ οἱ μαθηταὶ αὐτοῦ, Εἰ οὕτως ἐστὶν ἡ αἰτία τοῦ ἀνθρώπου μετὰ τῆς γυναικός, οὐ συμφέρει γαμῆσαι.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legousin autō hoi mathētai autou, Ei houtōs estin hē aitia tou anthrōpou meta tēs gynaikos, ou sympherei gamēsai.
MATHAYO 19:11 TWMC · Kiswahili
Akawaambia, “Si wote wanaoweza kupokea neno hili, bali wale waliopewa.
KJV · English
But he said unto them, All men cannot receive this saying, save they to whom it is given.
Kigiriki
Ὁ δὲ εἶπεν αὐτοῖς, Οὐ πάντες χωροῦσιν τὸν λόγον τοῦτον, ἀλλ’ οἷς δέδοται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de eipen autois, Ou pantes chōrousin ton logon touton, all’ hois dedotai.
MATHAYO 19:12 TWMC · Kiswahili
Kwa maana wako matowashi waliozaliwa hivyo tangu tumboni mwa mama zao; wako waliofanywa matowashi na watu; na wako waliochagua kuishi bila ndoa kwa ajili ya Ufalme wa mbinguni. Anayeweza kulipokea na alipokee.”
KJV · English
For there are some eunuchs, which were so born from their mother’s womb: and there are some eunuchs, which were made eunuchs of men: and there be eunuchs, which have made themselves eunuchs for the kingdom of heaven’s sake. He that is able to receive it , let him receive it.
Kigiriki
Εἰσὶν γὰρ εὐνοῦχοι, οἵτινες ἐκ κοιλίας μητρὸς ἐγεννήθησαν οὕτως∙ καί εἰσιν εὐνοῦχοι, οἵτινες εὐνουχίσθησαν ὑπὸ τῶν ἀνθρώπων∙ καί εἰσιν εὐνοῦχοι, οἵτινες εὐνούχισαν ἑαυτοὺς διὰ τὴν βασιλείαν τῶν οὐρανῶν. Ὁ δυνάμενος χωρεῖν χωρείτω.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Eisin gar eunouchoi, hoitines ek koilias mētros egennēthēsan houtōs; kai eisin eunouchoi, hoitines eunouchisthēsan hypo tōn anthrōpōn; kai eisin eunouchoi, hoitines eunouchisan heautous dia tēn basileian tōn ouranōn. Ho dynamenos chōrein chōreitō.
MATHAYO 19:13 TWMC · Kiswahili
Ndipo watoto wadogo wakaletwa kwake ili awawekee mikono na kuwaombea, lakini wanafunzi wakawakemea.
KJV · English
¶ Then were there brought unto him little children, that he should put his hands on them, and pray: and the disciples rebuked them.
Kigiriki
Τότε προσηνέχθη αὐτῷ παιδία, ἵνα τὰς χεῖρας ἐπιθῇ αὐτοῖς, καὶ προσεύξηται∙ οἱ δὲ μαθηταὶ ἐπετίμησαν αὐτοῖς.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote prosēnechthē autō paidia, hina tas cheiras epithē autois, kai proseuxētai; hoi de mathētai epetimēsan autois.
MATHAYO 19:14 TWMC · Kiswahili
Yesu akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie, kwa maana Ufalme wa mbinguni ni wa walio kama hawa.”
KJV · English
But Jesus said, Suffer little children, and forbid them not, to come unto me: for of such is the kingdom of heaven.
Kigiriki
Ὁ δὲ Ἰησοῦς εἶπεν, Ἄφετε τὰ παιδία, καὶ μὴ κωλύετε αὐτὰ ἐλθεῖν πρός με∙ τῶν γὰρ τοιούτων ἐστὶν ἡ βασιλεία τῶν οὐρανῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de Iēsous eipen, Aphete ta paidia, kai mē kōlyete auta elthein pros me; tōn gar toioutōn estin hē basileia tōn ouranōn.
MATHAYO 19:15 TWMC · Kiswahili
Akawawekea mikono, akaondoka huko.
KJV · English
And he laid his hands on them, and departed thence.
Kigiriki
Καὶ ἐπιθεὶς αὐτοῖς τὰς χεῖρας, ἐπορεύθη ἐκεῖθεν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai epitheis autois tas cheiras, eporeuthē ekeithen.
MATHAYO 19:16 TWMC · Kiswahili
Mtu mmoja akamjia, akamwambia, “Mwalimu mwema, nifanye jema gani ili niwe na uzima wa milele?”
KJV · English
¶ And, behold, one came and said unto him, Good Master, what good thing shall I do, that I may have eternal life?
Kigiriki
Καὶ ἰδού, εἷς προσελθὼν εἶπεν αὐτῷ, Διδάσκαλε ἀγαθέ, τί ἀγαθὸν ποιήσω, ἵνα ἔχω ζωὴν αἰώνιον;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai idou, heis proselthōn eipen autō, Didaskale agathe, ti agathon poiēsō, hina echō zōēn aiōnion?
MATHAYO 19:17 TWMC · Kiswahili
Akamwambia, “Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema isipokuwa mmoja, Mungu. Lakini ukitaka kuingia uzimani, zishike amri.”
KJV · English
And he said unto him, Why callest thou me good? there is none good but one, that is , God: but if thou wilt enter into life, keep the commandments.
Kigiriki
Ὁ δὲ εἶπεν αὐτῷ, Τί με λέγεις ἀγαθόν; Οὐδεὶς ἀγαθός, εἰ μὴ εἷς, ὁ θεός. Εἰ δὲ θέλεις εἰσελθεῖν εἰς τὴν ζωήν, τήρησον τὰς ἐντολάς.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de eipen autō, Ti me legeis agathon? Oudeis agathos, ei mē heis, ho theos. Ei de theleis eiselthein eis tēn zōēn, tērēson tas entolas.
MATHAYO 19:18 TWMC · Kiswahili
Akamuuliza, “Zipi?”
Yesu akasema, “‘Usiue. Usizini. Usiibe. Usitoe ushahidi wa uongo.
KJV · English
He saith unto him, Which? Jesus said, Thou shalt do no murder, Thou shalt not commit adultery, Thou shalt not steal, Thou shalt not bear false witness,
Kigiriki
Λέγει αὐτῷ, Ποίας; Ὁ δὲ Ἰησοῦς εἶπεν, Τὸ Οὐ φονεύσεις∙ οὐ μοιχεύσεις∙ οὐ κλέψεις∙ οὐ ψευδομαρτυρήσεις∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legei autō, Poias? Ho de Iēsous eipen, To Ou phoneuseis; ou moicheuseis; ou klepseis; ou pseudomartyrēseis;
MATHAYO 19:19 TWMC · Kiswahili
Mheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’”
KJV · English
Honour thy father and thy mother: and, Thou shalt love thy neighbour as thyself.
Kigiriki
τίμα τὸν πατέρα καὶ τὴν μητέρα∙ καί, ἀγαπήσεις τὸν πλησίον σου ὡς σεαυτόν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
tima ton patera kai tēn mētera; kai, agapēseis ton plēsion sou hōs seauton.
MATHAYO 19:20 TWMC · Kiswahili
Yule kijana akamwambia, “Haya yote nimeyashika tangu ujana wangu. Bado ninapungukiwa na nini?”
KJV · English
The young man saith unto him, All these things have I kept from my youth up: what lack I yet?
Kigiriki
Λέγει αὐτῷ ὁ νεανίσκος, Πάντα ταῦτα ἐφυλαξάμην ἐκ νεότητός μου∙ τί ἔτι ὑστερῶ;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legei autō ho neaniskos, Panta tauta ephylaxamēn ek neotētos mou; ti eti hysterō?
MATHAYO 19:21 TWMC · Kiswahili
Yesu akamwambia, “Ukitaka kuwa kamili, nenda ukauze mali zako, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo unifuate.”
KJV · English
Jesus said unto him, If thou wilt be perfect, go and sell that thou hast, and give to the poor, and thou shalt have treasure in heaven: and come and follow me.
Kigiriki
Ἔφη αὐτῷ ὁ Ἰησοῦς, Εἰ θέλεις τέλειος εἶναι, ὕπαγε, πώλησόν σου τὰ ὑπάρχοντα καὶ δὸς πτωχοῖς, καὶ ἕξεις θησαυρὸν ἐν οὐρανῷ∙ καὶ δεῦρο, ἀκολούθει μοι.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ephē autō ho Iēsous, Ei theleis teleios einai, hypage, pōlēson sou ta hyparchonta kai dos ptōchois, kai hexeis thēsauron en ouranō; kai deuro, akolouthei moi.
MATHAYO 19:22 TWMC · Kiswahili
Kijana aliposikia neno hilo, akaondoka mwenye huzuni, kwa maana alikuwa na mali nyingi.
KJV · English
But when the young man heard that saying, he went away sorrowful: for he had great possessions.
Kigiriki
Ἀκούσας δὲ ὁ νεανίσκος τὸν λόγον ἀπῆλθεν λυπούμενος∙ ἦν γὰρ ἔχων κτήματα πολλά.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Akousas de ho neaniskos ton logon apēlthen lypoumenos; ēn gar echōn ktēmata polla.
MATHAYO 19:23 TWMC · Kiswahili
Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kwa kweli nawaambia, ni vigumu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni.
KJV · English
¶ Then said Jesus unto his disciples, Verily I say unto you, That a rich man shall hardly enter into the kingdom of heaven.
Kigiriki
Ὁ δὲ Ἰησοῦς εἶπεν τοῖς μαθηταῖς αὐτοῦ, Ἀμὴν λέγω ὑμῖν ὅτι δυσκόλως πλούσιος εἰσελεύσεται εἰς τὴν βασιλείαν τῶν οὐρανῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de Iēsous eipen tois mathētais autou, Amēn legō hymin hoti dyskolōs plousios eiseleusetai eis tēn basileian tōn ouranōn.
MATHAYO 19:24 TWMC · Kiswahili
Tena nawaambia, ni rahisi ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu.”
KJV · English
And again I say unto you, It is easier for a camel to go through the eye of a needle, than for a rich man to enter into the kingdom of God.
Kigiriki
Πάλιν δὲ λέγω ὑμῖν, εὐκοπώτερόν ἐστιν κάμηλον διὰ τρυπήματος ῥαφίδος διελθεῖν, ἢ πλούσιον εἰς τὴν βασιλείαν τοῦ θεοῦ εἰσελθεῖν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Palin de legō hymin, eukopōteron estin kamēlon dia trypēmatos rhaphidos dielthein, ē plousion eis tēn basileian tou theou eiselthein.
MATHAYO 19:25 TWMC · Kiswahili
Wanafunzi wake waliposikia, walishangaa sana,
wakasema, “Basi ni nani anayeweza kuokolewa?”
KJV · English
When his disciples heard it , they were exceedingly amazed, saying, Who then can be saved?
Kigiriki
Ἀκούσαντες δὲ οἱ μαθηταὶ αὐτοῦ ἐξεπλήσσοντο σφόδρα, λέγοντες, Τίς ἄρα δύναται σωθῆναι;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Akousantes de hoi mathētai autou exeplēssonto sphodra, legontes, Tis ara dynatai sōthēnai?
MATHAYO 19:26 TWMC · Kiswahili
Yesu akawakazia macho, akasema, “Kwa wanadamu hili haliwezekani, lakini kwa Mungu yote yanawezekana.”
KJV · English
But Jesus beheld them , and said unto them, With men this is impossible; but with God all things are possible.
Kigiriki
Ἐμβλέψας δὲ ὁ Ἰησοῦς εἶπεν αὐτοῖς, Παρὰ ἀνθρώποις τοῦτο ἀδύνατόν ἐστιν, παρὰ δὲ θεῷ πάντα δυνατά.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Emblepsas de ho Iēsous eipen autois, Para anthrōpois touto adynaton estin, para de theō panta dynata.
MATHAYO 19:27 TWMC · Kiswahili
Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, sisi tumeacha vyote, tumekufuata. Basi tutapata nini?”
KJV · English
¶ Then answered Peter and said unto him, Behold, we have forsaken all, and followed thee; what shall we have therefore?
Kigiriki
Τότε ἀποκριθεὶς ὁ Πέτρος εἶπεν αὐτῷ, Ἰδού, ἡμεῖς ἀφήκαμεν πάντα καὶ ἠκολουθήσαμέν σοι∙ τί ἄρα ἔσται ἡμῖν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote apokritheis ho Petros eipen autō, Idou, hēmeis aphēkamen panta kai ēkolouthēsamen soi; ti ara estai hēmin?
MATHAYO 19:28 TWMC · Kiswahili
Yesu akawaambia, “Kwa kweli nawaambia, katika kufanywa upya kwa mambo yote, Mwana wa Adamu atakapoketi kwenye kiti chake cha utukufu, ninyi mlionifuata mtaketi pia kwenye viti kumi na viwili, mkiyahukumu makabila kumi na mawili ya Israeli.
KJV · English
And Jesus said unto them, Verily I say unto you, That ye which have followed me, in the regeneration when the Son of man shall sit in the throne of his glory, ye also shall sit upon twelve thrones, judging the twelve tribes of Israel.
Kigiriki
Ὁ δὲ Ἰησοῦς εἶπεν αὐτοῖς, Ἀμὴν λέγω ὑμῖν ὅτι ὑμεῖς οἱ ἀκολουθήσαντές μοι, ἐν τῇ παλιγγενεσίᾳ ὅταν καθίσῃ ὁ υἱὸς τοῦ ἀνθρώπου ἐπὶ θρόνου δόξης αὐτοῦ, καθίσεσθε καὶ ὑμεῖς ἐπὶ δώδεκα θρόνους, κρίνοντες τὰς δώδεκα φυλὰς τοῦ Ἰσραήλ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de Iēsous eipen autois, Amēn legō hymin hoti hymeis hoi akolouthēsantes moi, en tē palingenesia hotan kathisē ho huios tou anthrōpou epi thronou doxēs autou, kathisesthe kai hymeis epi dōdeka thronous, krinontes tas dōdeka phylas tou Israēl.
MATHAYO 19:29 TWMC · Kiswahili
Na kila aliyeacha nyumba, ndugu wa kiume, dada, baba, mama, mke, watoto au mashamba kwa ajili ya jina langu atapokea mara mia zaidi na kurithi uzima wa milele.
KJV · English
And every one that hath forsaken houses, or brethren, or sisters, or father, or mother, or wife, or children, or lands, for my name’s sake, shall receive an hundredfold, and shall inherit everlasting life.
Kigiriki
Καὶ πᾶς ὃς ἀφῆκεν οἰκίας, ἢ ἀδελφούς, ἢ ἀδελφάς, ἢ πατέρα, ἢ μητέρα, ἢ γυναῖκα, ἢ τέκνα, ἢ ἀγρούς, ἕνεκεν τοῦ ὀνόματός μου, ἑκατονταπλασίονα λήψεται, καὶ ζωὴν αἰώνιον κληρονομήσει.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai pas hos aphēken oikias, ē adelphous, ē adelphas, ē patera, ē mētera, ē gynaika, ē tekna, ē agrous, heneken tou onomatos mou, hekatontaplasiona lēpsetai, kai zōēn aiōnion klēronomēsei.
MATHAYO 19:30 TWMC · Kiswahili
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na wa mwisho watakuwa wa kwanza.”
KJV · English
But many that are first shall be last; and the last shall be first.
Kigiriki
Πολλοὶ δὲ ἔσονται πρῶτοι ἔσχατοι, καὶ ἔσχατοι πρῶτοι.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Polloi de esontai prōtoi eschatoi, kai eschatoi prōtoi.