Sura zote Vyanzo na toleo Kiswahili · Mathayo
Mathayo 12 Nani, nini, kwa nini, lini, wapi na jinsi — utangulizi wa kitabu
English · Español · Kiswahili Jinsi ya kutumia uchunguzi wa maneno ya Kigiriki Huhitaji kujua kusoma Kigiriki ili kuanza. Gusa neno lililopigiwa mstari katika mstari wa Kigiriki au wa Kigiriki kilichoandikwa kwa herufi za Kilatini: yote mawili yanafungua ingizo lilelile. Data inapopatikana kwa uhakika, utaona umbo la neno katika kamusi, sarufi, namba ya Strong na maana. Chagua “Zaidi kuhusu maana na sarufi” ili kuona maelezo zaidi. Buruta upau wa juu ili kusogeza paneli, na sogeza yaliyomo ndani yake ili kuendelea kusoma. Kitufe cha “Funga” hubaki kuonekana.
Mstari wa vipande unaonyesha kwamba uchanganuzi haupatikani; mstari maradufu unaonyesha kwamba ingizo la kamusi halipatikani. Hatujazii mapengo haya kwa kubahatisha. Kamusi hutoa maana zinazowezekana; muktadha huamua maana inayofaa katika kifungu. Maandishi yetu ya Biblia, Kigiriki na herufi za Kilatini hayajabadilishwa.
RASIMU KWA UHAKIKI: Maana za kamusi kwa Kiswahili ni tafsiri za kiotomatiki za ufafanuzi wa Kiingereza wa Dodson, pamoja na masahihisho maalumu. Bado zinahitaji uhakiki wa mwandishi na wa lugha. Ufafanuzi wa awali wa Kiingereza unapatikana katika maelezo yaliyopanuliwa. Alama hii ya rasimu inahusu maana za kamusi pekee, si maandishi yaliyokamilika ya Biblia.
Soma kuhusu vyanzo na upeo wa matumizi →
Washa JavaScript ili kutumia uchunguzi wa maneno. Sura Mathayo 1 Mathayo 2 Mathayo 3 Mathayo 4 Mathayo 5 Mathayo 6 Mathayo 7 Mathayo 8 Mathayo 9 Mathayo 10 Mathayo 11 Mathayo 12 Mathayo 13 Mathayo 14 Mathayo 15 Mathayo 16 Mathayo 17 Mathayo 18 Mathayo 19 Mathayo 20 Mathayo 21 Mathayo 22 Mathayo 23 Mathayo 24 Mathayo 25 Mathayo 26 Mathayo 27 Mathayo 28 Tafuta katika sura hii
MATHAYO 12:1 TWMC · Kiswahili
Wakati huo Yesu alikuwa akipita katika mashamba ya nafaka siku ya Sabato. Wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuchuma masuke na kula.
KJV · English
At that time Jesus went on the sabbath day through the corn; and his disciples were an hungred, and began to pluck the ears of corn, and to eat.
Kigiriki
Ἐν ἐκείνῳ τῷ καιρῷ ἐπορεύθη ὁ Ἰησοῦς τοῖς σάββασιν διὰ τῶν σπορίμων∙ οἱ δὲ μαθηταὶ αὐτοῦ ἐπείνασαν, καὶ ἤρξαντο τίλλειν στάχυας καὶ ἐσθίειν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
En ekeinō tō kairō eporeuthē ho Iēsous tois sabbasin dia tōn sporimōn; hoi de mathētai autou epeinasan, kai ērxanto tillein stachyas kai esthiein.
MATHAYO 12:2 TWMC · Kiswahili
Mafarisayo walipoona hivyo, wakamwambia, “Tazama! Wanafunzi wako wanafanya lisiloruhusiwa siku ya Sabato.”
KJV · English
But when the Pharisees saw it , they said unto him, Behold, thy disciples do that which is not lawful to do upon the sabbath day.
Kigiriki
Οἱ δὲ Φαρισαῖοι ἰδόντες εἶπον αὐτῷ, Ἰδού, οἱ μαθηταί σου ποιοῦσιν ὃ οὐκ ἔξεστιν ποιεῖν ἐν σαββάτῳ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hoi de Pharisaioi idontes eipon autō, Idou, hoi mathētai sou poiousin ho ouk exestin poiein en sabbatō.
MATHAYO 12:3 TWMC · Kiswahili
Yesu akawajibu, “Je, hamjasoma Daudi alichofanya alipokuwa na njaa, yeye na watu waliokuwa pamoja naye?
KJV · English
But he said unto them, Have ye not read what David did, when he was an hungred, and they that were with him;
Kigiriki
Ὁ δὲ εἶπεν αὐτοῖς, Οὐκ ἀνέγνωτε τί ἐποίησεν Δαυίδ, ὅτε ἐπείνασεν αὐτὸς καὶ οἱ μετ’ αὐτοῦ∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de eipen autois, Ouk anegnōte ti epoiēsen Dauid, hote epeinasen autos kai hoi met’ autou;
MATHAYO 12:4 TWMC · Kiswahili
Aliingia katika nyumba ya Mungu, akala mikate iliyowekwa mbele za Mungu, ambayo haikuruhusiwa kuliwa na yeye wala watu waliokuwa pamoja naye, ila makuhani peke yao.
KJV · English
How he entered into the house of God, and did eat the shewbread, which was not lawful for him to eat, neither for them which were with him, but only for the priests?
Kigiriki
πῶς εἰσῆλθεν εἰς τὸν οἶκον τοῦ θεοῦ, καὶ τοὺς ἄρτους τῆς προθέσεως ἔφαγεν, οὓς οὐκ ἐξὸν ἦν αὐτῷ φαγεῖν, οὐδὲ τοῖς μετ’ αὐτοῦ, εἰ μὴ τοῖς ἱερεῦσιν μόνοις;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
pōs eisēlthen eis ton oikon tou theou, kai tous artous tēs protheseōs ephagen, hous ouk exon ēn autō phagein, oude tois met’ autou, ei mē tois hiereusin monois?
MATHAYO 12:5 TWMC · Kiswahili
Au hamjasoma katika Sheria kwamba siku ya Sabato makuhani ndani ya hekalu hufanya kazi inayokiuka pumziko la Sabato, lakini hawana hatia?
KJV · English
Or have ye not read in the law, how that on the sabbath days the priests in the temple profane the sabbath, and are blameless?
Kigiriki
Ἢ οὐκ ἀνέγνωτε ἐν τῷ νόμῳ, ὅτι τοῖς σάββασιν οἱ ἱερεῖς ἐν τῷ ἱερῷ τὸ σάββατον βεβηλοῦσιν, καὶ ἀναίτιοί εἰσιν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ē ouk anegnōte en tō nomō, hoti tois sabbasin hoi hiereis en tō hierō to sabbaton bebēlousin, kai anaitioi eisin?
MATHAYO 12:6 TWMC · Kiswahili
Lakini nawaambia, hapa kuna kilicho kikubwa kuliko hekalu.
KJV · English
But I say unto you, That in this place is one greater than the temple.
Kigiriki
Λέγω δὲ ὑμῖν ὅτι τοῦ ἱεροῦ μεῖζόν ἐστιν ὧδε.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legō de hymin hoti tou hierou meizon estin hōde.
MATHAYO 12:7 TWMC · Kiswahili
Kama mngalielewa maana ya maneno haya, ‘Nataka rehema, si dhabihu,’ msingewahukumu wasio na hatia.
KJV · English
But if ye had known what this meaneth, I will have mercy, and not sacrifice, ye would not have condemned the guiltless.
Kigiriki
Εἰ δὲ ἐγνώκειτε τί ἐστιν, Ἔλεον θέλω καὶ οὐ θυσίαν, οὐκ ἂν κατεδικάσατε τοὺς ἀναιτίους.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ei de egnōkeite ti estin, Eleon thelō kai ou thysian, ouk an katedikasate tous anaitious.
MATHAYO 12:8 TWMC · Kiswahili
Kwa maana Mwana wa Adamu ni Bwana wa Sabato.”
KJV · English
For the Son of man is Lord even of the sabbath day.
Kigiriki
Κύριος γάρ ἐστιν τοῦ σαββάτου ὁ υἱὸς τοῦ ἀνθρώπου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kyrios gar estin tou sabbatou ho huios tou anthrōpou.
MATHAYO 12:9 TWMC · Kiswahili
Yesu akaondoka hapo, akaingia katika sinagogi lao.
KJV · English
And when he was departed thence, he went into their synagogue:
Kigiriki
Καὶ μεταβὰς ἐκεῖθεν ἦλθεν εἰς τὴν συναγωγὴν αὐτῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai metabas ekeithen ēlthen eis tēn synagōgēn autōn.
MATHAYO 12:10 TWMC · Kiswahili
Humo alikuwamo mtu mwenye mkono uliopooza. Wakitafuta sababu ya kumshtaki Yesu, wakamwuliza, “Je, inaruhusiwa kuponya siku ya Sabato?”
KJV · English
¶ And, behold, there was a man which had his hand withered. And they asked him, saying, Is it lawful to heal on the sabbath days? that they might accuse him.
Kigiriki
Καὶ ἰδού, ἄνθρωπος ἦν τὴν χεῖρα ἔχων ξηράν∙ καὶ ἐπηρώτησαν αὐτόν, λέγοντες, Εἰ ἔξεστιν τοῖς σάββασιν θεραπεύειν; ἵνα κατηγορήσωσιν αὐτοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai idou, anthrōpos ēn tēn cheira echōn xēran; kai epērōtēsan auton, legontes, Ei exestin tois sabbasin therapeuein? hina katēgorēsōsin autou.
MATHAYO 12:11 TWMC · Kiswahili
Yesu akajibu, “Ni nani kati yenu mwenye kondoo mmoja, akitumbukia shimoni siku ya Sabato, hatamshika na kumtoa?
KJV · English
And he said unto them, What man shall there be among you, that shall have one sheep, and if it fall into a pit on the sabbath day, will he not lay hold on it, and lift it out?
Kigiriki
Ὁ δὲ εἶπεν αὐτοῖς, Τίς ἔσται ἐξ ὑμῶν ἄνθρωπος, ὃς ἕξει πρόβατον ἕν, καὶ ἐὰν ἐμπέσῃ τοῦτο τοῖς σάββασιν εἰς βόθυνον, οὐχὶ κρατήσει αὐτὸ καὶ ἐγερεῖ;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de eipen autois, Tis estai ex hymōn anthrōpos, hos hexei probaton hen, kai ean empesē touto tois sabbasin eis bothynon, ouchi kratēsei auto kai egerei?
MATHAYO 12:12 TWMC · Kiswahili
Basi mtu ana thamani zaidi kiasi gani kuliko kondoo! Kwa hiyo inaruhusiwa kutenda mema siku ya Sabato.”
KJV · English
How much then is a man better than a sheep? Wherefore it is lawful to do well on the sabbath days.
Kigiriki
Πόσῳ οὖν διαφέρει ἄνθρωπος προβάτου. Ὥστε ἔξεστιν τοῖς σάββασιν καλῶς ποιεῖν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Posō oun diapherei anthrōpos probatou. Hōste exestin tois sabbasin kalōs poiein.
MATHAYO 12:13 TWMC · Kiswahili
Kisha akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.”
Akaunyosha, nao ukarudishwa kuwa mzima kama ule mwingine.
KJV · English
Then saith he to the man, Stretch forth thine hand. And he stretched it forth; and it was restored whole, like as the other.
Kigiriki
Τότε λέγει τῷ ἀνθρώπῳ, Ἔκτεινον τὴν χεῖρά σου. Καὶ ἐξέτεινεν, καὶ ἀποκατεστάθη ὑγιὴς ὡς ἡ ἄλλη.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote legei tō anthrōpō, Ekteinon tēn cheira sou. Kai exeteinen, kai apokatestathē hygiēs hōs hē allē.
MATHAYO 12:14 TWMC · Kiswahili
Lakini Mafarisayo wakatoka, wakafanya shauri dhidi ya Yesu kuhusu namna ya kumwangamiza.
KJV · English
¶ Then the Pharisees went out, and held a council against him, how they might destroy him.
Kigiriki
Οἱ δὲ Φαρισαῖοι συμβούλιον ἔλαβον κατ’ αὐτοῦ ἐξελθόντες, ὅπως αὐτὸν ἀπολέσωσιν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hoi de Pharisaioi symboulion elabon kat’ autou exelthontes, hopōs auton apolesōsin.
MATHAYO 12:15 TWMC · Kiswahili
Yesu akajua, akaondoka hapo. Makutano makubwa yakamfuata, naye akawaponya wote.
KJV · English
But when Jesus knew it , he withdrew himself from thence: and great multitudes followed him, and he healed them all;
Kigiriki
Ὁ δὲ Ἰησοῦς γνοὺς ἀνεχώρησεν ἐκεῖθεν∙ καὶ ἠκολούθησαν αὐτῷ ὄχλοι πολλοί, καὶ ἐθεράπευσεν αὐτοὺς πάντας,
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de Iēsous gnous anechōrēsen ekeithen; kai ēkolouthēsan autō ochloi polloi, kai etherapeusen autous pantas,
MATHAYO 12:16 TWMC · Kiswahili
Lakini akawaonya wasimtangaze hadharani.
KJV · English
And charged them that they should not make him known:
Kigiriki
καὶ ἐπετίμησεν αὐτοῖς, ἵνα μὴ φανερὸν αὐτὸν ποιήσωσιν∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai epetimēsen autois, hina mē phaneron auton poiēsōsin;
MATHAYO 12:17 TWMC · Kiswahili
Hivyo yakatimia yaliyosemwa kupitia nabii Isaya:
KJV · English
That it might be fulfilled which was spoken by Esaias the prophet, saying,
Kigiriki
ὅπως πληρωθῇ τὸ ῥηθὲν διὰ Ἠσαΐου τοῦ προφήτου, λέγοντος,
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
hopōs plērōthē to rhēthen dia Ēsaiou tou prophētou, legontos,
MATHAYO 12:18 TWMC · Kiswahili
“Tazama Mtumishi wangu niliyemchagua, Mpendwa wangu ninayependezwa naye. Nitaweka Roho wangu juu yake, naye atatangaza haki kwa mataifa.
KJV · English
Behold my servant, whom I have chosen; my beloved, in whom my soul is well pleased: I will put my spirit upon him, and he shall shew judgment to the Gentiles.
Kigiriki
Ἰδού, ὁ παῖς μου ὃν ᾑρέτισα∙ ὁ ἀγαπητός μου εἰς ὃν εὐδόκησεν ἡ ψυχή μου∙ θήσω τὸ πνεῦμά μου ἐπ’ αὐτόν, καὶ κρίσιν τοῖς ἔθνεσιν ἀπαγγελεῖ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Idou, ho pais mou hon hēretisa; ho agapētos mou eis hon eudokēsen hē psychē mou; thēsō to pneuma mou ep’ auton, kai krisin tois ethnesin apangelei.
MATHAYO 12:19 TWMC · Kiswahili
Hatagombana wala kupiga kelele, wala mtu hatasikia sauti yake ikipaza barabarani.
KJV · English
He shall not strive, nor cry; neither shall any man hear his voice in the streets.
Kigiriki
Οὐκ ἐρίσει, οὐδὲ κραυγάσει∙ οὐδὲ ἀκούσει τις ἐν ταῖς πλατείαις τὴν φωνὴν αὐτοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ouk erisei, oude kraugasei; oude akousei tis en tais plateiais tēn phōnēn autou.
MATHAYO 12:20 TWMC · Kiswahili
Mwanzi uliochubuka hatauvunja, na utambi unaofuka moshi hatauzima,
mpaka aifikishe haki kwenye ushindi.
KJV · English
A bruised reed shall he not break, and smoking flax shall he not quench, till he send forth judgment unto victory.
Kigiriki
Κάλαμον συντετριμμένον οὐ κατεάξει, καὶ λίνον τυφόμενον οὐ σβέσει∙ ἕως ἂν ἐκβάλῃ εἰς νῖκος τὴν κρίσιν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kalamon syntetrimmenon ou kateaxei, kai linon typhomenon ou sbesei; heōs an ekbalē eis nikos tēn krisin.
MATHAYO 12:21 TWMC · Kiswahili
Nayo mataifa yatalitumaini jina lake.”
KJV · English
And in his name shall the Gentiles trust.
Kigiriki
Καὶ τῷ ὀνόματι αὐτοῦ ἔθνη ἐλπιοῦσιν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai tō onomati autou ethnē elpiousin.
MATHAYO 12:22 TWMC · Kiswahili
Kisha wakamletea Yesu mtu mwenye pepo, aliyekuwa kipofu na asiyeweza kusema. Yesu akamponya, hata yule aliyekuwa kipofu na asiyeweza kusema akaweza kusema na kuona.
KJV · English
¶ Then was brought unto him one possessed with a devil, blind, and dumb: and he healed him, insomuch that the blind and dumb both spake and saw.
Kigiriki
Τότε προσηνέχθη αὐτῷ δαιμονιζόμενος, τυφλὸς καὶ κωφός∙ καὶ ἐθεράπευσεν αὐτόν, ὥστε τὸν τυφλὸν καὶ κωφὸν καὶ λαλεῖν καὶ βλέπειν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote prosēnechthē autō daimonizomenos, typhlos kai kōphos; kai etherapeusen auton, hōste ton typhlon kai kōphon kai lalein kai blepein.
MATHAYO 12:23 TWMC · Kiswahili
Makutano yote yakashangaa, yakasema, “Je, huyu anaweza kuwa Mwana wa Daudi?”
KJV · English
And all the people were amazed, and said, Is not this the son of David?
Kigiriki
Καὶ ἐξίσταντο πάντες οἱ ὄχλοι καὶ ἔλεγον, Μήτι οὗτός ἐστιν ὁ υἱὸς Δαυίδ;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai existanto pantes hoi ochloi kai elegon, Mēti houtos estin ho huios Dauid?
MATHAYO 12:24 TWMC · Kiswahili
Lakini Mafarisayo waliposikia, wakasema, “Mtu huyu hafukuzi pepo ila kwa nguvu za Beelzebuli, mkuu wa pepo.”
KJV · English
But when the Pharisees heard it , they said, This fellow doth not cast out devils, but by Beelzebub the prince of the devils.
Kigiriki
Οἱ δὲ Φαρισαῖοι ἀκούσαντες εἶπον, Οὗτος οὐκ ἐκβάλλει τὰ δαιμόνια, εἰ μὴ ἐν τῷ Βεελζεβοὺλ ἄρχοντι τῶν δαιμονίων.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hoi de Pharisaioi akousantes eipon, Houtos ouk ekballei ta daimonia, ei mē en tō Beelzeboul archonti tōn daimoniōn.
MATHAYO 12:25 TWMC · Kiswahili
Yesu akayajua mawazo yao, akawaambia, “Kila ufalme uliogawanyika ukajipinga wenyewe huangamia, na kila mji au nyumba iliyogawanyika ikajipinga yenyewe haitasimama.
KJV · English
And Jesus knew their thoughts, and said unto them, Every kingdom divided against itself is brought to desolation; and every city or house divided against itself shall not stand:
Kigiriki
Εἰδὼς δὲ ὁ Ἰησοῦς τὰς ἐνθυμήσεις αὐτῶν εἶπεν αὐτοῖς, Πᾶσα βασιλεία μερισθεῖσα καθ’ ἑαυτῆς ἐρημοῦται∙ καὶ πᾶσα πόλις ἢ οἰκία μερισθεῖσα καθ’ ἑαυτῆς οὐ σταθήσεται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Eidōs de ho Iēsous tas enthymēseis autōn eipen autois, Pasa basileia meristheisa kath’ heautēs erēmoutai; kai pasa polis ē oikia meristheisa kath’ heautēs ou stathēsetai.
MATHAYO 12:26 TWMC · Kiswahili
Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, basi amegawanyika na kujipinga mwenyewe. Ufalme wake utawezaje kusimama?
KJV · English
And if Satan cast out Satan, he is divided against himself; how shall then his kingdom stand?
Kigiriki
Καὶ εἰ ὁ Σατανᾶς τὸν Σατανᾶν ἐκβάλλει, ἐφ’ ἑαυτὸν ἐμερίσθη∙ πῶς οὖν σταθήσεται ἡ βασιλεία αὐτοῦ;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai ei ho Satanas ton Satanan ekballei, eph’ heauton emeristhē; pōs oun stathēsetai hē basileia autou?
MATHAYO 12:27 TWMC · Kiswahili
Na ikiwa mimi nafukuza pepo kwa Beelzebuli, wafuasi wenu wanawafukuza kwa nguvu za nani? Kwa hiyo wao wenyewe watakuwa waamuzi wenu.
KJV · English
And if I by Beelzebub cast out devils, by whom do your children cast them out? therefore they shall be your judges.
Kigiriki
Καὶ εἰ ἐγὼ ἐν Βεελζεβοὺλ ἐκβάλλω τὰ δαιμόνια, οἱ υἱοὶ ὑμῶν ἐν τίνι ἐκβάλλουσιν; Διὰ τοῦτο αὐτοὶ ὑμῶν ἔσονται κριταί.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai ei egō en Beelzeboul ekballō ta daimonia, hoi huioi hymōn en tini ekballousin? Dia touto autoi hymōn esontai kritai.
MATHAYO 12:28 TWMC · Kiswahili
Lakini ikiwa mimi nafukuza pepo kwa Roho wa Mungu, basi Ufalme wa Mungu umewafikia.
KJV · English
But if I cast out devils by the Spirit of God, then the kingdom of God is come unto you.
Kigiriki
Εἰ δὲ ἐν πνεύματι θεοῦ ἐγὼ ἐκβάλλω τὰ δαιμόνια, ἄρα ἔφθασεν ἐφ’ ὑμᾶς ἡ βασιλεία τοῦ θεοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ei de en pneumati theou egō ekballō ta daimonia, ara ephthasen eph’ hymas hē basileia tou theou.
MATHAYO 12:29 TWMC · Kiswahili
Au mtu anawezaje kuingia nyumbani kwa mwenye nguvu na kupora mali yake asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu? Ndipo anaweza kupora nyumba yake.
KJV · English
Or else how can one enter into a strong man’s house, and spoil his goods, except he first bind the strong man? and then he will spoil his house.
Kigiriki
Ἢ πῶς δύναταί τις εἰσελθεῖν εἰς τὴν οἰκίαν τοῦ ἰσχυροῦ καὶ τὰ σκεύη αὐτοῦ διαρπάσαι, ἐὰν μὴ πρῶτον δήσῃ τὸν ἰσχυρόν; Καὶ τότε τὴν οἰκίαν αὐτοῦ διαρπάσει.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ē pōs dynatai tis eiselthein eis tēn oikian tou ischyrou kai ta skeuē autou diarpasai, ean mē prōton dēsē ton ischyron? Kai tote tēn oikian autou diarpasei.
MATHAYO 12:30 TWMC · Kiswahili
Asiye pamoja nami yuko dhidi yangu, na asiyekusanya pamoja nami anatawanya.
KJV · English
He that is not with me is against me; and he that gathereth not with me scattereth abroad.
Kigiriki
Ὁ μὴ ὢν μετ’ ἐμοῦ κατ’ ἐμοῦ ἐστιν∙ καὶ ὁ μὴ συνάγων μετ’ ἐμοῦ σκορπίζει.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho mē ōn met’ emou kat’ emou estin; kai ho mē synagōn met’ emou skorpizei.
MATHAYO 12:31 TWMC · Kiswahili
Ndiyo sababu nawaambia: kila aina ya dhambi na kufuru inaweza kusamehewa watu, lakini kumkufuru Roho hakutasamehewa.
KJV · English
¶ Wherefore I say unto you, All manner of sin and blasphemy shall be forgiven unto men: but the blasphemy against the Holy Ghost shall not be forgiven unto men.
Kigiriki
Διὰ τοῦτο λέγω ὑμῖν, Πᾶσα ἁμαρτία καὶ βλασφημία ἀφεθήσεται τοῖς ἀνθρώποις∙ ἡ δὲ τοῦ πνεύματος βλασφημία οὐκ ἀφεθήσεται τοῖς ἀνθρώποις.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Dia touto legō hymin, Pasa hamartia kai blasphēmia aphethēsetai tois anthrōpois; hē de tou pneumatos blasphēmia ouk aphethēsetai tois anthrōpois.
MATHAYO 12:32 TWMC · Kiswahili
Yeyote anayesema neno dhidi ya Mwana wa Adamu anaweza kusamehewa. Lakini anayesema dhidi ya Roho Mtakatifu hatasamehewa, wala katika zama hizi wala katika zile zijazo.
KJV · English
And whosoever speaketh a word against the Son of man, it shall be forgiven him: but whosoever speaketh against the Holy Ghost, it shall not be forgiven him, neither in this world, neither in the world to come.
Kigiriki
Καὶ ὃς ἐὰν εἴπῃ λόγον κατὰ τοῦ υἱοῦ τοῦ ἀνθρώπου, ἀφεθήσεται αὐτῷ∙ ὃς δ’ ἂν εἴπῃ κατὰ τοῦ πνεύματος τοῦ ἁγίου, οὐκ ἀφεθήσεται αὐτῷ, οὔτε ἐν τῷ νῦν αἰῶνι οὔτε ἐν τῷ μέλλοντι.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai hos ean eipē logon kata tou huiou tou anthrōpou, aphethēsetai autō; hos d’ an eipē kata tou pneumatos tou hagiou, ouk aphethēsetai autō, oute en tō nyn aiōni oute en tō mellonti.
MATHAYO 12:33 TWMC · Kiswahili
Ama ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake mazuri, au ufanyeni mti kuwa mbovu na matunda yake mabaya, kwa maana mti hutambuliwa kwa matunda yake.
KJV · English
Either make the tree good, and his fruit good; or else make the tree corrupt, and his fruit corrupt: for the tree is known by his fruit.
Kigiriki
Ἢ ποιήσατε τὸ δένδρον καλόν, καὶ τὸν καρπὸν αὐτοῦ καλόν, ἢ ποιήσατε τὸ δένδρον σαπρόν, καὶ τὸν καρπὸν αὐτοῦ σαπρόν∙ ἐκ γὰρ τοῦ καρποῦ τὸ δένδρον γινώσκεται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ē poiēsate to dendron kalon, kai ton karpon autou kalon, ē poiēsate to dendron sapron, kai ton karpon autou sapron; ek gar tou karpou to dendron ginōsketai.
MATHAYO 12:34 TWMC · Kiswahili
Enyi wazao wa nyoka wenye sumu! Mnawezaje kusema mema wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa husema kutokana na yale yaliyoujaa moyo.
KJV · English
O generation of vipers, how can ye, being evil, speak good things? for out of the abundance of the heart the mouth speaketh.
Kigiriki
Γεννήματα ἐχιδνῶν, πῶς δύνασθε ἀγαθὰ λαλεῖν, πονηροὶ ὄντες; Ἐκ γὰρ τοῦ περισσεύματος τῆς καρδίας τὸ στόμα λαλεῖ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Gennēmata echidnōn, pōs dynasthe agatha lalein, ponēroi ontes? Ek gar tou perisseumatos tēs kardias to stoma lalei.
MATHAYO 12:35 TWMC · Kiswahili
Mtu mwema hutoa mema kutoka katika hazina njema ya ndani yake, na mtu mwovu hutoa maovu kutoka katika hazina mbaya.
KJV · English
A good man out of the good treasure of the heart bringeth forth good things: and an evil man out of the evil treasure bringeth forth evil things.
Kigiriki
Ὁ ἀγαθὸς ἄνθρωπος ἐκ τοῦ ἀγαθοῦ θησαυροῦ ἐκβάλλει ἀγαθά∙ καὶ ὁ πονηρὸς ἄνθρωπος ἐκ τοῦ πονηροῦ θησαυροῦ ἐκβάλλει πονηρά.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho agathos anthrōpos ek tou agathou thēsaurou ekballei agatha; kai ho ponēros anthrōpos ek tou ponērou thēsaurou ekballei ponēra.
MATHAYO 12:36 TWMC · Kiswahili
Lakini nawaambia: siku ya hukumu watu watatoa hesabu ya kila neno lisilo na faida wanalolisema.
KJV · English
But I say unto you, That every idle word that men shall speak, they shall give account thereof in the day of judgment.
Kigiriki
Λέγω δὲ ὑμῖν ὅτι πᾶν ῥῆμα ἀργόν, ὃ ἐὰν λαλήσωσιν οἱ ἄνθρωποι, ἀποδώσουσιν περὶ αὐτοῦ λόγον ἐν ἡμέρᾳ κρίσεως.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legō de hymin hoti pan rhēma argon, ho ean lalēsōsin hoi anthrōpoi, apodōsousin peri autou logon en hēmera kriseōs.
MATHAYO 12:37 TWMC · Kiswahili
Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.”
KJV · English
For by thy words thou shalt be justified, and by thy words thou shalt be condemned.
Kigiriki
Ἐκ γὰρ τῶν λόγων σου δικαιωθήσῃ, καὶ ἐκ τῶν λόγων σου καταδικασθήσῃ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ek gar tōn logōn sou dikaiōthēsē, kai ek tōn logōn sou katadikasthēsē.
MATHAYO 12:38 TWMC · Kiswahili
Kisha baadhi ya waandishi wa sheria na Mafarisayo wakamjibu, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”
KJV · English
¶ Then certain of the scribes and of the Pharisees answered, saying, Master, we would see a sign from thee.
Kigiriki
Τότε ἀπεκρίθησάν τινες τῶν γραμματέων καὶ Φαρισαίων, λέγοντες, Διδάσκαλε, θέλομεν ἀπὸ σοῦ σημεῖον ἰδεῖν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote apekrithēsan tines tōn grammateōn kai Pharisaiōn, legontes, Didaskale, thelomen apo sou sēmeion idein.
MATHAYO 12:39 TWMC · Kiswahili
Yesu akawajibu, “Kizazi kiovu kisicho mwaminifu kwa Mungu kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara isipokuwa ishara ya nabii Yona.
KJV · English
But he answered and said unto them, An evil and adulterous generation seeketh after a sign; and there shall no sign be given to it, but the sign of the prophet Jonas:
Kigiriki
Ὁ δὲ ἀποκριθεὶς εἶπεν αὐτοῖς, Γενεὰ πονηρὰ καὶ μοιχαλὶς σημεῖον ἐπιζητεῖ∙ καὶ σημεῖον οὐ δοθήσεται αὐτῇ, εἰ μὴ τὸ σημεῖον Ἰωνᾶ τοῦ προφήτου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de apokritheis eipen autois, Genea ponēra kai moichalis sēmeion epizētei; kai sēmeion ou dothēsetai autē, ei mē to sēmeion Iōna tou prophētou.
MATHAYO 12:40 TWMC · Kiswahili
Kwa maana kama Yona alivyokuwa tumboni mwa kiumbe kikubwa cha baharini siku tatu na usiku tatu, ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa ndani ya moyo wa nchi siku tatu na usiku tatu.
KJV · English
For as Jonas was three days and three nights in the whale’s belly; so shall the Son of man be three days and three nights in the heart of the earth.
Kigiriki
Ὥσπερ γὰρ ἦν Ἰωνᾶς ἐν τῇ κοιλίᾳ τοῦ κήτους τρεῖς ἡμέρας καὶ τρεῖς νύκτας, οὕτως ἔσται ὁ υἱὸς τοῦ ἀνθρώπου ἐν τῇ καρδίᾳ τῆς γῆς τρεῖς ἡμέρας καὶ τρεῖς νύκτας.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hōsper gar ēn Iōnas en tē koilia tou kētous treis hēmeras kai treis nyktas, houtōs estai ho huios tou anthrōpou en tē kardia tēs gēs treis hēmeras kai treis nyktas.
MATHAYO 12:41 TWMC · Kiswahili
Watu wa Ninawi watasimama katika hukumu pamoja na kizazi hiki na kukihukumu, kwa sababu walitubu Yona alipowahubiria. Na tazameni, hapa yupo aliye mkuu kuliko Yona.
KJV · English
The men of Nineveh shall rise in judgment with this generation, and shall condemn it: because they repented at the preaching of Jonas; and, behold, a greater than Jonas is here.
Kigiriki
Ἄνδρες Νινευῖται ἀναστήσονται ἐν τῇ κρίσει μετὰ τῆς γενεᾶς ταύτης καὶ κατακρινοῦσιν αὐτήν∙ ὅτι μετενόησαν εἰς τὸ κήρυγμα Ἰωνᾶ, καὶ ἰδού, πλεῖον Ἰωνᾶ ὧδε.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Andres Nineuitai anastēsontai en tē krisei meta tēs geneas tautēs kai katakrinousin autēn; hoti metenoēsan eis to kērygma Iōna, kai idou, pleion Iōna hōde.
MATHAYO 12:42 TWMC · Kiswahili
Malkia wa Kusini atasimama katika hukumu pamoja na kizazi hiki na kukihukumu. Kwa maana alitoka miisho ya dunia kusikia hekima ya Sulemani. Na tazameni, hapa yupo aliye mkuu kuliko Sulemani.
KJV · English
The queen of the south shall rise up in the judgment with this generation, and shall condemn it: for she came from the uttermost parts of the earth to hear the wisdom of Solomon; and, behold, a greater than Solomon is here.
Kigiriki
Βασίλισσα νότου ἐγερθήσεται ἐν τῇ κρίσει μετὰ τῆς γενεᾶς ταύτης καὶ κατακρινεῖ αὐτήν∙ ὅτι ἦλθεν ἐκ τῶν περάτων τῆς γῆς ἀκοῦσαι τὴν σοφίαν Σολομῶνος∙ καὶ ἰδού, πλεῖον Σολομῶνος ὧδε.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Basilissa notou egerthēsetai en tē krisei meta tēs geneas tautēs kai katakrinei autēn; hoti ēlthen ek tōn peratōn tēs gēs akousai tēn sophian Solomōnos; kai idou, pleion Solomōnos hōde.
MATHAYO 12:43 TWMC · Kiswahili
Roho mchafu anapotoka ndani ya mtu, huzunguka sehemu zisizo na maji akitafuta pumziko, lakini halipati.
KJV · English
When the unclean spirit is gone out of a man, he walketh through dry places, seeking rest, and findeth none.
Kigiriki
Ὅταν δὲ τὸ ἀκάθαρτον πνεῦμα ἐξέλθῃ ἀπὸ τοῦ ἀνθρώπου, διέρχεται δι’ ἀνύδρων τόπων, ζητοῦν ἀνάπαυσιν, καὶ οὐχ εὑρίσκει.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hotan de to akatharton pneuma exelthē apo tou anthrōpou, dierchetai di’ anydrōn topōn, zētoun anapausin, kai ouch heuriskei.
MATHAYO 12:44 TWMC · Kiswahili
Kisha husema, ‘Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka.’ Anaporudi, anakuta nyumba tupu, imefagiliwa na kupangwa vizuri.
KJV · English
Then he saith, I will return into my house from whence I came out; and when he is come, he findeth it empty, swept, and garnished.
Kigiriki
Τότε λέγει, Ἐπιστρέψω εἰς τὸν οἶκόν μου ὅθεν ἐξῆλθον. Καὶ ἐλθὸν εὑρίσκει σχολάζοντα, σεσαρωμένον καὶ κεκοσμημένον.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote legei, Epistrepsō eis ton oikon mou hothen exēlthon. Kai elthon heuriskei scholazonta, sesarōmenon kai kekosmēmenon.
MATHAYO 12:45 TWMC · Kiswahili
Basi huenda akachukua pamoja naye roho wengine saba walio waovu kuliko yeye. Wanaingia na kukaa humo, na hali ya mwisho ya mtu yule huwa mbaya kuliko ya kwanza.
Ndivyo kitakavyokuwa kizazi hiki kiovu.”
KJV · English
Then goeth he, and taketh with himself seven other spirits more wicked than himself, and they enter in and dwell there: and the last state of that man is worse than the first. Even so shall it be also unto this wicked generation.
Kigiriki
Τότε πορεύεται καὶ παραλαμβάνει μεθ’ ἑαυτοῦ ἑπτὰ ἕτερα πνεύματα πονηρότερα ἑαυτοῦ, καὶ εἰσελθόντα κατοικεῖ ἐκεῖ∙ καὶ γίνεται τὰ ἔσχατα τοῦ ἀνθρώπου ἐκείνου χείρονα τῶν πρώτων. Οὕτως ἔσται καὶ τῇ γενεᾷ ταύτῃ τῇ πονηρᾷ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote poreuetai kai paralambanei meth’ heautou hepta hetera pneumata ponērotera heautou, kai eiselthonta katoikei ekei; kai ginetai ta eschata tou anthrōpou ekeinou cheirona tōn prōtōn. Houtōs estai kai tē genea tautē tē ponēra.
MATHAYO 12:46 TWMC · Kiswahili
Yesu alipokuwa bado akisema na makutano, mama yake na ndugu zake walikuwa wamesimama nje, wakitaka kusema naye.
KJV · English
¶ While he yet talked to the people, behold, his mother and his brethren stood without, desiring to speak with him.
Kigiriki
Ἔτι δὲ αὐτοῦ λαλοῦντος τοῖς ὄχλοις, ἰδού, ἡ μήτηρ καὶ οἱ ἀδελφοὶ αὐτοῦ εἱστήκεισαν ἔξω, ζητοῦντες αὐτῷ λαλῆσαι.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Eti de autou lalountos tois ochlois, idou, hē mētēr kai hoi adelphoi autou heistēkeisan exō, zētountes autō lalēsai.
MATHAYO 12:47 TWMC · Kiswahili
Mtu akamwambia, “Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wakitaka kusema nawe.”
KJV · English
Then one said unto him, Behold, thy mother and thy brethren stand without, desiring to speak with thee.
Kigiriki
Εἶπεν δέ τις αὐτῷ, Ἰδού, ἡ μήτηρ σου καὶ οἱ ἀδελφοί σου ἔξω ἑστήκασιν, ζητοῦντές σοι λαλῆσαι.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Eipen de tis autō, Idou, hē mētēr sou kai hoi adelphoi sou exō hestēkasin, zētountes soi lalēsai.
MATHAYO 12:48 TWMC · Kiswahili
Yesu akamjibu aliyemwambia, “Mama yangu ni nani? Na ndugu zangu ni nani?”
KJV · English
But he answered and said unto him that told him, Who is my mother? and who are my brethren?
Kigiriki
Ὁ δὲ ἀποκριθεὶς εἶπεν τῷ εἰπόντι αὐτῷ, Τίς ἐστιν ἡ μήτηρ μου; Καὶ τίνες εἰσὶν οἱ ἀδελφοί μου;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de apokritheis eipen tō eiponti autō, Tis estin hē mētēr mou? Kai tines eisin hoi adelphoi mou?
MATHAYO 12:49 TWMC · Kiswahili
Kisha akaunyosha mkono kuelekea wanafunzi wake, akasema, “Tazameni, hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.
KJV · English
And he stretched forth his hand toward his disciples, and said, Behold my mother and my brethren!
Kigiriki
Καὶ ἐκτείνας τὴν χεῖρα αὐτοῦ ἐπὶ τοὺς μαθητὰς αὐτοῦ εἶπεν, Ἰδού, ἡ μήτηρ μου καὶ οἱ ἀδελφοί μου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai ekteinas tēn cheira autou epi tous mathētas autou eipen, Idou, hē mētēr mou kai hoi adelphoi mou.
MATHAYO 12:50 TWMC · Kiswahili
Kwa maana yeyote anayefanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni ndiye ndugu yangu, dada yangu, na mama yangu.”
KJV · English
For whosoever shall do the will of my Father which is in heaven, the same is my brother, and sister, and mother.
Kigiriki
Ὅστις γὰρ ἂν ποιήσῃ τὸ θέλημα τοῦ πατρός μου τοῦ ἐν οὐρανοῖς, αὐτός μου ἀδελφὸς καὶ ἀδελφὴ καὶ μήτηρ ἐστίν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hostis gar an poiēsē to thelēma tou patros mou tou en ouranois, autos mou adelphos kai adelphē kai mētēr estin.