Sura zote Vyanzo na toleo Kiswahili · Mathayo
Mathayo 5 Nani, nini, kwa nini, lini, wapi na jinsi — utangulizi wa kitabu
English · Español · Kiswahili Jinsi ya kutumia uchunguzi wa maneno ya Kigiriki Huhitaji kujua kusoma Kigiriki ili kuanza. Gusa neno lililopigiwa mstari katika mstari wa Kigiriki au wa Kigiriki kilichoandikwa kwa herufi za Kilatini: yote mawili yanafungua ingizo lilelile. Data inapopatikana kwa uhakika, utaona umbo la neno katika kamusi, sarufi, namba ya Strong na maana. Chagua “Zaidi kuhusu maana na sarufi” ili kuona maelezo zaidi. Buruta upau wa juu ili kusogeza paneli, na sogeza yaliyomo ndani yake ili kuendelea kusoma. Kitufe cha “Funga” hubaki kuonekana.
Mstari wa vipande unaonyesha kwamba uchanganuzi haupatikani; mstari maradufu unaonyesha kwamba ingizo la kamusi halipatikani. Hatujazii mapengo haya kwa kubahatisha. Kamusi hutoa maana zinazowezekana; muktadha huamua maana inayofaa katika kifungu. Maandishi yetu ya Biblia, Kigiriki na herufi za Kilatini hayajabadilishwa.
RASIMU KWA UHAKIKI: Maana za kamusi kwa Kiswahili ni tafsiri za kiotomatiki za ufafanuzi wa Kiingereza wa Dodson, pamoja na masahihisho maalumu. Bado zinahitaji uhakiki wa mwandishi na wa lugha. Ufafanuzi wa awali wa Kiingereza unapatikana katika maelezo yaliyopanuliwa. Alama hii ya rasimu inahusu maana za kamusi pekee, si maandishi yaliyokamilika ya Biblia.
Soma kuhusu vyanzo na upeo wa matumizi →
Washa JavaScript ili kutumia uchunguzi wa maneno. Sura Mathayo 1 Mathayo 2 Mathayo 3 Mathayo 4 Mathayo 5 Mathayo 6 Mathayo 7 Mathayo 8 Mathayo 9 Mathayo 10 Mathayo 11 Mathayo 12 Mathayo 13 Mathayo 14 Mathayo 15 Mathayo 16 Mathayo 17 Mathayo 18 Mathayo 19 Mathayo 20 Mathayo 21 Mathayo 22 Mathayo 23 Mathayo 24 Mathayo 25 Mathayo 26 Mathayo 27 Mathayo 28 Tafuta katika sura hii
MATHAYO 5:1 TWMC · Kiswahili
Yesu alipoona makutano, alipanda mlimani. Alipoketi, wanafunzi wake wakamjia.
KJV · English
And seeing the multitudes, he went up into a mountain: and when he was set, his disciples came unto him:
Kigiriki
Ἰδὼν δὲ τοὺς ὄχλους, ἀνέβη εἰς τὸ ὄρος∙ καὶ καθίσαντος αὐτοῦ, προσῆλθον αὐτῷ οἱ μαθηταὶ αὐτοῦ∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Idōn de tous ochlous, anebē eis to oros; kai kathisantos autou, prosēlthon autō hoi mathētai autou;
MATHAYO 5:2 TWMC · Kiswahili
Akaanza kuwafundisha, akisema:
KJV · English
And he opened his mouth, and taught them, saying,
Kigiriki
καὶ ἀνοίξας τὸ στόμα αὐτοῦ, ἐδίδασκεν αὐτούς, λέγων,
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai anoixas to stoma autou, edidasken autous, legōn,
MATHAYO 5:3 TWMC · Kiswahili
“Heri walio maskini wa roho, kwa maana Ufalme wa mbinguni ni wao.
KJV · English
Blessed are the poor in spirit: for theirs is the kingdom of heaven.
Kigiriki
Μακάριοι οἱ πτωχοὶ τῷ πνεύματι∙ ὅτι αὐτῶν ἐστιν ἡ βασιλεία τῶν οὐρανῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi hoi ptōchoi tō pneumati; hoti autōn estin hē basileia tōn ouranōn.
MATHAYO 5:4 TWMC · Kiswahili
Heri wanaoomboleza, kwa maana watafarijiwa.
KJV · English
Blessed are they that mourn: for they shall be comforted.
Kigiriki
Μακάριοι οἱ πενθοῦντες∙ ὅτι αὐτοὶ παρακληθήσονται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi hoi penthountes; hoti autoi paraklēthēsontai.
MATHAYO 5:5 TWMC · Kiswahili
Heri wenye upole, kwa maana watairithi nchi.
KJV · English
Blessed are the meek: for they shall inherit the earth.
Kigiriki
Μακάριοι οἱ πρᾳεῖς∙ ὅτι αὐτοὶ κληρονομήσουσιν τὴν γῆν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi hoi praeis; hoti autoi klēronomēsousin tēn gēn.
MATHAYO 5:6 TWMC · Kiswahili
Heri wenye njaa na kiu ya haki, kwa maana watashibishwa kabisa.
KJV · English
Blessed are they which do hunger and thirst after righteousness: for they shall be filled.
Kigiriki
Μακάριοι οἱ πεινῶντες καὶ διψῶντες τὴν δικαιοσύνην∙ ὅτι αὐτοὶ χορτασθήσονται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi hoi peinōntes kai dipsōntes tēn dikaiosynēn; hoti autoi chortasthēsontai.
MATHAYO 5:7 TWMC · Kiswahili
Heri wenye rehema, kwa maana wataonyeshwa rehema.
KJV · English
Blessed are the merciful: for they shall obtain mercy.
Kigiriki
Μακάριοι οἱ ἐλεήμονες∙ ὅτι αὐτοὶ ἐλεηθήσονται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi hoi eleēmones; hoti autoi eleēthēsontai.
MATHAYO 5:8 TWMC · Kiswahili
Heri wenye moyo safi, kwa maana watamwona Mungu.
KJV · English
Blessed are the pure in heart: for they shall see God.
Kigiriki
Μακάριοι οἱ καθαροὶ τῇ καρδίᾳ∙ ὅτι αὐτοὶ τὸν θεὸν ὄψονται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi hoi katharoi tē kardia; hoti autoi ton theon opsontai.
MATHAYO 5:9 TWMC · Kiswahili
Heri wanaofanya amani, kwa maana wataitwa wana wa Mungu.
KJV · English
Blessed are the peacemakers: for they shall be called the children of God.
Kigiriki
Μακάριοι οἱ εἰρηνοποιοί∙ ὅτι αὐτοὶ υἱοὶ θεοῦ κληθήσονται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi hoi eirēnopoioi; hoti autoi huioi theou klēthēsontai.
MATHAYO 5:10 TWMC · Kiswahili
Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, kwa maana Ufalme wa mbinguni ni wao.
KJV · English
Blessed are they which are persecuted for righteousness’ sake: for theirs is the kingdom of heaven.
Kigiriki
Μακάριοι οἱ δεδιωγμένοι ἕνεκεν δικαιοσύνης∙ ὅτι αὐτῶν ἐστιν ἡ βασιλεία τῶν οὐρανῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi hoi dediōgmenoi heneken dikaiosynēs; hoti autōn estin hē basileia tōn ouranōn.
MATHAYO 5:11 TWMC · Kiswahili
Heri ninyi watu wanapowatukana, kuwatesa, na kuwasemea kwa uongo kila aina ya maovu kwa sababu yangu.
KJV · English
Blessed are ye, when men shall revile you, and persecute you , and shall say all manner of evil against you falsely, for my sake.
Kigiriki
Μακάριοί ἐστε, ὅταν ὀνειδίσωσιν ὑμᾶς καὶ διώξωσιν, καὶ εἴπωσιν πᾶν πονηρὸν ῥῆμα καθ’ ὑμῶν ψευδόμενοι, ἕνεκεν ἐμοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Makarioi este, hotan oneidisōsin hymas kai diōxōsin, kai eipōsin pan ponēron rhēma kath’ hymōn pseudomenoi, heneken emou.
MATHAYO 5:12 TWMC · Kiswahili
Furahini na kushangilia, kwa maana thawabu yenu mbinguni ni kubwa. Ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu.
KJV · English
Rejoice, and be exceeding glad: for great is your reward in heaven: for so persecuted they the prophets which were before you.
Kigiriki
Χαίρετε καὶ ἀγαλλιᾶσθε, ὅτι ὁ μισθὸς ὑμῶν πολὺς ἐν τοῖς οὐρανοῖς∙ οὕτως γὰρ ἐδίωξαν τοὺς προφήτας τοὺς πρὸ ὑμῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Chairete kai agalliasthe, hoti ho misthos hymōn polys en tois ouranois; houtōs gar ediōxan tous prophētas tous pro hymōn.
MATHAYO 5:13 TWMC · Kiswahili
Ninyi ni chumvi ya dunia. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, itarudishiwaje uchumvi? Haifai tena kwa kitu chochote isipokuwa kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
KJV · English
¶ Ye are the salt of the earth: but if the salt have lost his savour, wherewith shall it be salted? it is thenceforth good for nothing, but to be cast out, and to be trodden under foot of men.
Kigiriki
Ὑμεῖς ἐστε τὸ ἅλας τῆς γῆς∙ ἐὰν δὲ τὸ ἅλας μωρανθῇ, ἐν τίνι ἁλισθήσεται; Εἰς οὐδὲν ἰσχύει ἔτι, εἰ μὴ βληθῆναι ἔξω καὶ καταπατεῖσθαι ὑπὸ τῶν ἀνθρώπων.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hymeis este to halas tēs gēs; ean de to halas mōranthē, en tini halisthēsetai? Eis ouden ischyei eti, ei mē blēthēnai exō kai katapateisthai hypo tōn anthrōpōn.
MATHAYO 5:14 TWMC · Kiswahili
Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichwa.
KJV · English
Ye are the light of the world. A city that is set on an hill cannot be hid.
Kigiriki
Ὑμεῖς ἐστε τὸ φῶς τοῦ κόσμου∙ οὐ δύναται πόλις κρυβῆναι ἐπάνω ὄρους κειμένη∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hymeis este to phōs tou kosmou; ou dynatai polis krybēnai epanō orous keimenē;
MATHAYO 5:15 TWMC · Kiswahili
Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya kikapu. Huiweka kwenye kinara chake, nayo huwaangazia wote waliomo nyumbani.
KJV · English
Neither do men light a candle, and put it under a bushel, but on a candlestick; and it giveth light unto all that are in the house.
Kigiriki
οὐδὲ καίουσιν λύχνον καὶ τιθέασιν αὐτὸν ὑπὸ τὸν μόδιον, ἀλλ’ ἐπὶ τὴν λυχνίαν, καὶ λάμπει πᾶσιν τοῖς ἐν τῇ οἰκίᾳ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
oude kaiousin lychnon kai titheasin auton hypo ton modion, all’ epi tēn lychnian, kai lampei pasin tois en tē oikia.
MATHAYO 5:16 TWMC · Kiswahili
Vivyo hivyo, nuru yenu na iangaze mbele ya watu, ili waone matendo yenu mema na kumtukuza Baba yenu aliye mbinguni.
KJV · English
Let your light so shine before men, that they may see your good works, and glorify your Father which is in heaven.
Kigiriki
Οὕτως λαμψάτω τὸ φῶς ὑμῶν ἔμπροσθεν τῶν ἀνθρώπων, ὅπως ἴδωσιν ὑμῶν τὰ καλὰ ἔργα, καὶ δοξάσωσιν τὸν πατέρα ὑμῶν τὸν ἐν τοῖς οὐρανοῖς.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Houtōs lampsatō to phōs hymōn emprosthen tōn anthrōpōn, hopōs idōsin hymōn ta kala erga, kai doxasōsin ton patera hymōn ton en tois ouranois.
MATHAYO 5:17 TWMC · Kiswahili
Msifikiri kwamba nimekuja kuifuta Sheria au maandiko ya Manabii. Sikuja kuyafuta, bali kuyatimiza.
KJV · English
¶ Think not that I am come to destroy the law, or the prophets: I am not come to destroy, but to fulfil.
Kigiriki
Μὴ νομίσητε ὅτι ἦλθον καταλῦσαι τὸν νόμον ἢ τοὺς προφήτας∙ οὐκ ἦλθον καταλῦσαι ἀλλὰ πληρῶσαι.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Mē nomisēte hoti ēlthon katalysai ton nomon ē tous prophētas; ouk ēlthon katalysai alla plērōsai.
MATHAYO 5:18 TWMC · Kiswahili
Kwa kweli nawaambia: mpaka mbingu na dunia zipite, hata herufi ndogo kabisa au alama moja ndogo haitaondoka katika Sheria mpaka yote yatimie.
KJV · English
For verily I say unto you, Till heaven and earth pass, one jot or one tittle shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled.
Kigiriki
Ἀμὴν γὰρ λέγω ὑμῖν, ἕως ἂν παρέλθῃ ὁ οὐρανὸς καὶ ἡ γῆ, ἰῶτα ἓν ἢ μία κεραία οὐ μὴ παρέλθῃ ἀπὸ τοῦ νόμου, ἕως ἂν πάντα γένηται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Amēn gar legō hymin, heōs an parelthē ho ouranos kai hē gē, iōta hen ē mia keraia ou mē parelthē apo tou nomou, heōs an panta genētai.
MATHAYO 5:19 TWMC · Kiswahili
Basi yeyote anayepuuza hata amri moja iliyo ndogo kati ya hizi, na kuwafundisha watu kufanya hivyo, ataitwa mdogo katika Ufalme wa mbinguni. Lakini anayezitenda na kuzifundisha ataitwa mkuu katika Ufalme wa mbinguni.
KJV · English
Whosoever therefore shall break one of these least commandments, and shall teach men so, he shall be called the least in the kingdom of heaven: but whosoever shall do and teach them , the same shall be called great in the kingdom of heaven.
Kigiriki
Ὃς ἐὰν οὖν λύσῃ μίαν τῶν ἐντολῶν τούτων τῶν ἐλαχίστων, καὶ διδάξῃ οὕτως τοὺς ἀνθρώπους, ἐλάχιστος κληθήσεται ἐν τῇ βασιλείᾳ τῶν οὐρανῶν∙ ὃς δ’ ἂν ποιήσῃ καὶ διδάξῃ, οὗτος μέγας κληθήσεται ἐν τῇ βασιλείᾳ τῶν οὐρανῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hos ean oun lysē mian tōn entolōn toutōn tōn elachistōn, kai didaxē houtōs tous anthrōpous, elachistos klēthēsetai en tē basileia tōn ouranōn; hos d’ an poiēsē kai didaxē, houtos megas klēthēsetai en tē basileia tōn ouranōn.
MATHAYO 5:20 TWMC · Kiswahili
Nawaambia hivi: haki yenu isipozidi ya waandishi wa sheria na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika Ufalme wa mbinguni.
KJV · English
For I say unto you, That except your righteousness shall exceed the righteousness of the scribes and Pharisees, ye shall in no case enter into the kingdom of heaven.
Kigiriki
Λέγω γὰρ ὑμῖν ὅτι ἐὰν μὴ περισσεύσῃ ἡ δικαιοσύνη ὑμῶν πλεῖον τῶν γραμματέων καὶ Φαρισαίων, οὐ μὴ εἰσέλθητε εἰς τὴν βασιλείαν τῶν οὐρανῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Legō gar hymin hoti ean mē perisseusē hē dikaiosynē hymōn pleion tōn grammateōn kai Pharisaiōn, ou mē eiselthēte eis tēn basileian tōn ouranōn.
MATHAYO 5:21 TWMC · Kiswahili
Mmesikia kwamba watu wa zamani waliambiwa, ‘Usiue,’ na, ‘Yeyote anayeua atapaswa kuhukumiwa.’
KJV · English
¶ Ye have heard that it was said by them of old time, Thou shalt not kill; and whosoever shall kill shall be in danger of the judgment:
Kigiriki
Ἠκούσατε ὅτι ἐρρέθη τοῖς ἀρχαίοις, Οὐ φονεύσεις∙ ὃς δ’ ἂν φονεύσῃ, ἔνοχος ἔσται τῇ κρίσει∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ēkousate hoti errethē tois archaiois, Ou phoneuseis; hos d’ an phoneusē, enochos estai tē krisei;
MATHAYO 5:22 TWMC · Kiswahili
Lakini mimi nawaambia kwamba yeyote anayemkasirikia ndugu yake bila sababu atapaswa kuhukumiwa. Anayemwambia ndugu yake, ‘Raka!’ atajibu mbele ya baraza. Na anayesema, ‘Mpumbavu wewe!’ atakuwa katika hatari ya moto wa Jehanamu.
KJV · English
But I say unto you, That whosoever is angry with his brother without a cause shall be in danger of the judgment: and whosoever shall say to his brother, Raca, shall be in danger of the council: but whosoever shall say, Thou fool, shall be in danger of hell fire.
Kigiriki
ἐγὼ δὲ λέγω ὑμῖν ὅτι πᾶς ὁ ὀργιζόμενος τῷ ἀδελφῷ αὐτοῦ εἰκῇ ἔνοχος ἔσται τῇ κρίσει∙ ὃς δ’ ἂν εἴπῃ τῷ ἀδελφῷ αὐτοῦ, Ῥακά, ἔνοχος ἔσται τῷ συνεδρίῳ∙ ὃς δ’ ἂν εἴπῃ, Μωρέ, ἔνοχος ἔσται εἰς τὴν γέενναν τοῦ πυρός.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
egō de legō hymin hoti pas ho orgizomenos tō adelphō autou eikē enochos estai tē krisei; hos d’ an eipē tō adelphō autou, Rhaka, enochos estai tō synedriō; hos d’ an eipē, Mōre, enochos estai eis tēn geennan tou pyros.
MATHAYO 5:23 TWMC · Kiswahili
Basi unapotoa sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka hapo kwamba ndugu yako ana jambo dhidi yako,
KJV · English
Therefore if thou bring thy gift to the altar, and there rememberest that thy brother hath ought against thee;
Kigiriki
Ἐὰν οὖν προσφέρῃς τὸ δῶρόν σου ἐπὶ τὸ θυσιαστήριον, καὶ ἐκεῖ μνησθῇς ὅτι ὁ ἀδελφός σου ἔχει τι κατὰ σοῦ,
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ean oun prospherēs to dōron sou epi to thysiastērion, kai ekei mnēsthēs hoti ho adelphos sou echei ti kata sou,
MATHAYO 5:24 TWMC · Kiswahili
iache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu. Nenda kwanza ukapatane na ndugu yako; kisha urudi ukaitoe sadaka yako.
KJV · English
Leave there thy gift before the altar, and go thy way; first be reconciled to thy brother, and then come and offer thy gift.
Kigiriki
ἄφες ἐκεῖ τὸ δῶρόν σου ἔμπροσθεν τοῦ θυσιαστηρίου, καὶ ὕπαγε, πρῶτον διαλλάγηθι τῷ ἀδελφῷ σου, καὶ τότε ἐλθὼν πρόσφερε τὸ δῶρόν σου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
aphes ekei to dōron sou emprosthen tou thysiastēriou, kai hypage, prōton diallagēthi tō adelphō sou, kai tote elthōn prosphere to dōron sou.
MATHAYO 5:25 TWMC · Kiswahili
Patana upesi na anayekushtaki wakati bado uko naye njiani, asije akakukabidhi kwa hakimu, naye hakimu akakukabidhi kwa askari, nawe ukatupwa gerezani.
KJV · English
Agree with thine adversary quickly, whiles thou art in the way with him; lest at any time the adversary deliver thee to the judge, and the judge deliver thee to the officer, and thou be cast into prison.
Kigiriki
Ἴσθι εὐνοῶν τῷ ἀντιδίκῳ σου ταχύ, ἕως ὅτου εἶ ἐν τῇ ὁδῷ μετ’ αὐτοῦ, μήποτέ σε παραδῷ ὁ ἀντίδικος τῷ κριτῇ, καὶ ὁ κριτής σε παραδῷ τῷ ὑπηρέτῃ, καὶ εἰς φυλακὴν βληθήσῃ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Isthi eunoōn tō antidikō sou tachy, heōs hotou ei en tē hodō met’ autou, mēpote se paradō ho antidikos tō kritē, kai ho kritēs se paradō tō hypēretē, kai eis phylakēn blēthēsē.
MATHAYO 5:26 TWMC · Kiswahili
Kwa kweli nakuambia: hutatoka humo mpaka ulipe hata sarafu ya mwisho.
KJV · English
Verily I say unto thee, Thou shalt by no means come out thence, till thou hast paid the uttermost farthing.
Kigiriki
Ἀμὴν λέγω σοι, οὐ μὴ ἐξέλθῃς ἐκεῖθεν, ἕως ἂν ἀποδῷς τὸν ἔσχατον κοδράντην.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Amēn legō soi, ou mē exelthēs ekeithen, heōs an apodōs ton eschaton kodrantēn.
MATHAYO 5:27 TWMC · Kiswahili
Mmesikia kwamba ilisemwa, ‘Usizini.’
KJV · English
¶ Ye have heard that it was said by them of old time, Thou shalt not commit adultery:
Kigiriki
Ἠκούσατε ὅτι ἐρρέθη, Οὐ μοιχεύσεις∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ēkousate hoti errethē, Ou moicheuseis;
MATHAYO 5:28 TWMC · Kiswahili
Lakini mimi nawaambia kwamba yeyote anayemtazama mwanamke kwa kusudi la kumtamani tayari amezini naye moyoni mwake.
KJV · English
But I say unto you, That whosoever looketh on a woman to lust after her hath committed adultery with her already in his heart.
Kigiriki
ἐγὼ δὲ λέγω ὑμῖν ὅτι πᾶς ὁ βλέπων γυναῖκα πρὸς τὸ ἐπιθυμῆσαι αὐτὴν ἤδη ἐμοίχευσεν αὐτὴν ἐν τῇ καρδίᾳ αὐτοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
egō de legō hymin hoti pas ho blepōn gynaika pros to epithymēsai autēn ēdē emoicheusen autēn en tē kardia autou.
MATHAYO 5:29 TWMC · Kiswahili
Ikiwa jicho lako la kulia linakufanya uanguke katika dhambi, ling'oe na ulitupe mbali nawe. Ni afadhali upoteze kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako wote kutupwa katika Jehanamu.
KJV · English
And if thy right eye offend thee, pluck it out, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.
Kigiriki
Εἰ δὲ ὁ ὀφθαλμός σου ὁ δεξιὸς σκανδαλίζει σε, ἔξελε αὐτὸν καὶ βάλε ἀπὸ σοῦ∙ συμφέρει γάρ σοι ἵνα ἀπόληται ἓν τῶν μελῶν σου, καὶ μὴ ὅλον τὸ σῶμά σου βληθῇ εἰς γέενναν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ei de ho ophthalmos sou ho dexios skandalizei se, exele auton kai bale apo sou; sympherei gar soi hina apolētai hen tōn melōn sou, kai mē holon to sōma sou blēthē eis geennan.
MATHAYO 5:30 TWMC · Kiswahili
Na ikiwa mkono wako wa kulia unakufanya uanguke katika dhambi, ukate na uutupe mbali nawe. Ni afadhali upoteze kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako wote kutupwa katika Jehanamu.
KJV · English
And if thy right hand offend thee, cut it off, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.
Kigiriki
Καὶ εἰ ἡ δεξιά σου χεὶρ σκανδαλίζει σε, ἔκκοψον αὐτὴν καὶ βάλε ἀπὸ σοῦ∙ συμφέρει γάρ σοι ἵνα ἀπόληται ἓν τῶν μελῶν σου, καὶ μὴ ὅλον τὸ σῶμά σου βληθῇ εἰς γέενναν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai ei hē dexia sou cheir skandalizei se, ekkopson autēn kai bale apo sou; sympherei gar soi hina apolētai hen tōn melōn sou, kai mē holon to sōma sou blēthē eis geennan.
MATHAYO 5:31 TWMC · Kiswahili
Pia ilisemwa, ‘Yeyote anayemwacha mke wake na ampe hati ya talaka.’
KJV · English
It hath been said, Whosoever shall put away his wife, let him give her a writing of divorcement:
Kigiriki
Ἐρρέθη δὲ ὅτι Ὃς ἂν ἀπολύσῃ τὴν γυναῖκα αὐτοῦ, δότω αὐτῇ ἀποστάσιον∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Errethē de hoti Hos an apolysē tēn gynaika autou, dotō autē apostasion;
MATHAYO 5:32 TWMC · Kiswahili
Lakini mimi nawaambia kwamba yeyote anayemwacha mke wake, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, anamfanya azini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyeachwa anazini.
KJV · English
But I say unto you, That whosoever shall put away his wife, saving for the cause of fornication, causeth her to commit adultery: and whosoever shall marry her that is divorced committeth adultery.
Kigiriki
ἐγὼ δὲ λέγω ὑμῖν ὅτι ὃς ἂν ἀπολύσῃ τὴν γυναῖκα αὐτοῦ, παρεκτὸς λόγου πορνείας, ποιεῖ αὐτὴν μοιχᾶσθαι∙ καὶ ὃς ἐὰν ἀπολελυμένην γαμήσῃ μοιχᾶται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
egō de legō hymin hoti hos an apolysē tēn gynaika autou, parektos logou porneias, poiei autēn moichasthai; kai hos ean apolelymenēn gamēsē moichatai.
MATHAYO 5:33 TWMC · Kiswahili
Tena mmesikia kwamba watu wa zamani waliambiwa, ‘Usiape kwa uongo, bali timiza viapo ulivyomwekea Bwana.’
KJV · English
¶ Again, ye have heard that it hath been said by them of old time, Thou shalt not forswear thyself, but shalt perform unto the Lord thine oaths:
Kigiriki
Πάλιν ἠκούσατε ὅτι ἐρρέθη τοῖς ἀρχαίοις, Οὐκ ἐπιορκήσεις, ἀποδώσεις δὲ τῷ κυρίῳ τοὺς ὅρκους σου∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Palin ēkousate hoti errethē tois archaiois, Ouk epiorkēseis, apodōseis de tō kyriō tous horkous sou;
MATHAYO 5:34 TWMC · Kiswahili
Lakini mimi nawaambia: msiape kamwe—wala kwa mbingu, kwa maana ni kiti cha enzi cha Mungu;
KJV · English
But I say unto you, Swear not at all; neither by heaven; for it is God’s throne:
Kigiriki
ἐγὼ δὲ λέγω ὑμῖν μὴ ὀμόσαι ὅλως∙ μήτε ἐν τῷ οὐρανῷ, ὅτι θρόνος ἐστὶν τοῦ θεοῦ∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
egō de legō hymin mē omosai holōs; mēte en tō ouranō, hoti thronos estin tou theou;
MATHAYO 5:35 TWMC · Kiswahili
wala kwa dunia, kwa maana ni mahali pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ni mji wa Mfalme mkuu.
KJV · English
Nor by the earth; for it is his footstool: neither by Jerusalem; for it is the city of the great King.
Kigiriki
μήτε ἐν τῇ γῇ, ὅτι ὑποπόδιόν ἐστιν τῶν ποδῶν αὐτοῦ∙ μήτε εἰς Ἱεροσόλυμα, ὅτι πόλις ἐστὶν τοῦ μεγάλου βασιλέως∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
mēte en tē gē, hoti hypopodion estin tōn podōn autou; mēte eis Hierosolyma, hoti polis estin tou megalou basileōs;
MATHAYO 5:36 TWMC · Kiswahili
Wala usiape kwa kichwa chako mwenyewe, kwa maana huwezi kufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
KJV · English
Neither shalt thou swear by thy head, because thou canst not make one hair white or black.
Kigiriki
μήτε ἐν τῇ κεφαλῇ σου ὀμόσῃς, ὅτι οὐ δύνασαι μίαν τρίχα λευκὴν ἢ μέλαιναν ποιῆσαι.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
mēte en tē kephalē sou omosēs, hoti ou dynasai mian tricha leukēn ē melainan poiēsai.
MATHAYO 5:37 TWMC · Kiswahili
Badala yake, ‘Ndiyo’ yenu iwe ndiyo, na ‘Hapana’ yenu iwe hapana. Kinachozidi hayo hutoka katika uovu.
KJV · English
But let your communication be, Yea, yea; Nay, nay: for whatsoever is more than these cometh of evil.
Kigiriki
Ἔστω δὲ ὁ λόγος ὑμῶν, ναὶ ναί, οὒ οὔ∙ τὸ δὲ περισσὸν τούτων ἐκ τοῦ πονηροῦ ἐστιν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Estō de ho logos hymōn, nai nai, ou ou; to de perisson toutōn ek tou ponērou estin.
MATHAYO 5:38 TWMC · Kiswahili
Mmesikia kwamba ilisemwa, ‘Jicho kwa jicho, na jino kwa jino.’
KJV · English
¶ Ye have heard that it hath been said, An eye for an eye, and a tooth for a tooth:
Kigiriki
Ἠκούσατε ὅτι ἐρρέθη, Ὀφθαλμὸν ἀντὶ ὀφθαλμοῦ, καὶ ὀδόντα ἀντὶ ὀδόντος∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ēkousate hoti errethē, Ophthalmon anti ophthalmou, kai odonta anti odontos;
MATHAYO 5:39 TWMC · Kiswahili
Lakini mimi nawaambia: msimpinge mtu mwovu. Mtu akikupiga kwenye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.
KJV · English
But I say unto you, That ye resist not evil: but whosoever shall smite thee on thy right cheek, turn to him the other also.
Kigiriki
ἐγὼ δὲ λέγω ὑμῖν μὴ ἀντιστῆναι τῷ πονηρῷ∙ ἀλλ’ ὅστις σε ῥαπίσει ἐπὶ τὴν δεξιὰν σιαγόνα, στρέψον αὐτῷ καὶ τὴν ἄλλην∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
egō de legō hymin mē antistēnai tō ponērō; all’ hostis se rhapisei epi tēn dexian siagona, strepson autō kai tēn allēn;
MATHAYO 5:40 TWMC · Kiswahili
Mtu akitaka kukushtaki na kuchukua kanzu yako, mwachie na vazi lako la nje pia.
KJV · English
And if any man will sue thee at the law, and take away thy coat, let him have thy cloke also.
Kigiriki
καὶ τῷ θέλοντί σοι κριθῆναι καὶ τὸν χιτῶνά σου λαβεῖν, ἄφες αὐτῷ καὶ τὸ ἱμάτιον∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai tō thelonti soi krithēnai kai ton chitōna sou labein, aphes autō kai to himation;
MATHAYO 5:41 TWMC · Kiswahili
Mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye mbili.
KJV · English
And whosoever shall compel thee to go a mile, go with him twain.
Kigiriki
καὶ ὅστις σε ἀγγαρεύσει μίλιον ἕν, ὕπαγε μετ’ αὐτοῦ δύο.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai hostis se angareusei milion hen, hypage met’ autou dyo.
MATHAYO 5:42 TWMC · Kiswahili
Mpe anayekuomba, wala usimgeuzie kisogo anayetaka kukopa kwako.
KJV · English
Give to him that asketh thee, and from him that would borrow of thee turn not thou away.
Kigiriki
Τῷ αἰτοῦντί σε δίδου∙ καὶ τὸν θέλοντα ἀπὸ σοῦ δανείσασθαι μὴ ἀποστραφῇς.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tō aitounti se didou; kai ton thelonta apo sou daneisasthai mē apostraphēs.
MATHAYO 5:43 TWMC · Kiswahili
Mmesikia kwamba ilisemwa, ‘Mpende jirani yako, na umchukie adui yako.’
KJV · English
¶ Ye have heard that it hath been said, Thou shalt love thy neighbour, and hate thine enemy.
Kigiriki
Ἠκούσατε ὅτι ἐρρέθη, Ἀγαπήσεις τὸν πλησίον σου, καὶ μισήσεις τὸν ἐχθρόν σου∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ēkousate hoti errethē, Agapēseis ton plēsion sou, kai misēseis ton echthron sou;
MATHAYO 5:44 TWMC · Kiswahili
Lakini mimi nawaambia: wapendeni adui zenu. Wabarikini wanaowalaani. Watendeeni mema wanaowachukia. Waombeeni wanaowatendea vibaya na kuwatesa.
KJV · English
But I say unto you, Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you;
Kigiriki
ἐγὼ δὲ λέγω ὑμῖν, Ἀγαπᾶτε τοὺς ἐχθροὺς ὑμῶν, εὐλογεῖτε τοὺς καταρωμένους ὑμᾶς, καλῶς ποιεῖτε τοῖς μισοῦσιν ὑμᾶς, καὶ προσεύχεσθε ὑπὲρ τῶν ἐπηρεαζόντων ὑμᾶς, καὶ διωκόντων ὑμᾶς∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
egō de legō hymin, Agapate tous echthrous hymōn, eulogeite tous katarōmenous hymas, kalōs poieite tois misousin hymas, kai proseuchesthe hyper tōn epēreazontōn hymas, kai diōkontōn hymas;
MATHAYO 5:45 TWMC · Kiswahili
Hivyo mtakuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni. Yeye hulichomoza jua lake juu ya waovu na wema, na huwanyeshea mvua wenye haki na wasio na haki.
KJV · English
That ye may be the children of your Father which is in heaven: for he maketh his sun to rise on the evil and on the good, and sendeth rain on the just and on the unjust.
Kigiriki
ὅπως γένησθε υἱοὶ τοῦ πατρὸς ὑμῶν τοῦ ἐν τοῖς οὐρανοῖς, ὅτι τὸν ἥλιον αὐτοῦ ἀνατέλλει ἐπὶ πονηροὺς καὶ ἀγαθούς, καὶ βρέχει ἐπὶ δικαίους καὶ ἀδίκους.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
hopōs genēsthe huioi tou patros hymōn tou en tois ouranois, hoti ton hēlion autou anatellei epi ponērous kai agathous, kai brechei epi dikaious kai adikous.
MATHAYO 5:46 TWMC · Kiswahili
Mkiwapenda wanaowapenda tu, mna thawabu gani? Je, hata watoza ushuru hawafanyi hivyo?
KJV · English
For if ye love them which love you, what reward have ye? do not even the publicans the same?
Kigiriki
Ἐὰν γὰρ ἀγαπήσητε τοὺς ἀγαπῶντας ὑμᾶς, τίνα μισθὸν ἔχετε; Οὐχὶ καὶ οἱ τελῶναι τὸ αὐτὸ ποιοῦσιν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ean gar agapēsēte tous agapōntas hymas, tina misthon echete? Ouchi kai hoi telōnai to auto poiousin?
MATHAYO 5:47 TWMC · Kiswahili
Na mkiwasalimu rafiki zenu tu, mnafanya nini cha ziada? Je, hata watoza ushuru hawafanyi hivyo?
KJV · English
And if ye salute your brethren only, what do ye more than others ? do not even the publicans so?
Kigiriki
Καὶ ἐὰν ἀσπάσησθε τοὺς φίλους ὑμῶν μόνον, τί περισσὸν ποιεῖτε; Οὐχὶ καὶ οἱ τελῶναι οὕτως ποιοῦσιν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai ean aspasēsthe tous philous hymōn monon, ti perisson poieite? Ouchi kai hoi telōnai houtōs poiousin?
MATHAYO 5:48 TWMC · Kiswahili
Basi iweni wakamilifu, kama Baba yenu aliye mbinguni alivyo mkamilifu.
KJV · English
Be ye therefore perfect, even as your Father which is in heaven is perfect.
Kigiriki
Ἔσεσθε οὖν ὑμεῖς τέλειοι, ὥσπερ ὁ πατὴρ ὑμῶν ὁ ἐν τοῖς οὐρανοῖς τέλειός ἐστιν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Esesthe oun hymeis teleioi, hōsper ho patēr hymōn ho en tois ouranois teleios estin.