Sura zote Vyanzo na toleo Kiswahili · Mathayo
Mathayo 25 Nani, nini, kwa nini, lini, wapi na jinsi — utangulizi wa kitabu
English · Español · Kiswahili Jinsi ya kutumia uchunguzi wa maneno ya Kigiriki Huhitaji kujua kusoma Kigiriki ili kuanza. Gusa neno lililopigiwa mstari katika mstari wa Kigiriki au wa Kigiriki kilichoandikwa kwa herufi za Kilatini: yote mawili yanafungua ingizo lilelile. Data inapopatikana kwa uhakika, utaona umbo la neno katika kamusi, sarufi, namba ya Strong na maana. Chagua “Zaidi kuhusu maana na sarufi” ili kuona maelezo zaidi. Buruta upau wa juu ili kusogeza paneli, na sogeza yaliyomo ndani yake ili kuendelea kusoma. Kitufe cha “Funga” hubaki kuonekana.
Mstari wa vipande unaonyesha kwamba uchanganuzi haupatikani; mstari maradufu unaonyesha kwamba ingizo la kamusi halipatikani. Hatujazii mapengo haya kwa kubahatisha. Kamusi hutoa maana zinazowezekana; muktadha huamua maana inayofaa katika kifungu. Maandishi yetu ya Biblia, Kigiriki na herufi za Kilatini hayajabadilishwa.
RASIMU KWA UHAKIKI: Maana za kamusi kwa Kiswahili ni tafsiri za kiotomatiki za ufafanuzi wa Kiingereza wa Dodson, pamoja na masahihisho maalumu. Bado zinahitaji uhakiki wa mwandishi na wa lugha. Ufafanuzi wa awali wa Kiingereza unapatikana katika maelezo yaliyopanuliwa. Alama hii ya rasimu inahusu maana za kamusi pekee, si maandishi yaliyokamilika ya Biblia.
Soma kuhusu vyanzo na upeo wa matumizi →
Washa JavaScript ili kutumia uchunguzi wa maneno. Sura Mathayo 1 Mathayo 2 Mathayo 3 Mathayo 4 Mathayo 5 Mathayo 6 Mathayo 7 Mathayo 8 Mathayo 9 Mathayo 10 Mathayo 11 Mathayo 12 Mathayo 13 Mathayo 14 Mathayo 15 Mathayo 16 Mathayo 17 Mathayo 18 Mathayo 19 Mathayo 20 Mathayo 21 Mathayo 22 Mathayo 23 Mathayo 24 Mathayo 25 Mathayo 26 Mathayo 27 Mathayo 28 Tafuta katika sura hii
MATHAYO 25:1 TWMC · Kiswahili
“Wakati huo Ufalme wa mbinguni utafanana na wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.
KJV · English
Then shall the kingdom of heaven be likened unto ten virgins, which took their lamps, and went forth to meet the bridegroom.
Kigiriki
Τότε ὁμοιωθήσεται ἡ βασιλεία τῶν οὐρανῶν δέκα παρθένοις, αἵτινες λαβοῦσαι τὰς λαμπάδας αὐτῶν ἐξῆλθον εἰς ἀπάντησιν τοῦ νυμφίου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote homoiōthēsetai hē basileia tōn ouranōn deka parthenois, haitines labousai tas lampadas autōn exēlthon eis apantēsin tou nymphiou.
MATHAYO 25:2 TWMC · Kiswahili
Watano wao walikuwa na busara, na watano wapumbavu.
KJV · English
And five of them were wise, and five were foolish.
Kigiriki
Πέντε δὲ ἦσαν ἐξ αὐτῶν φρόνιμοι, καὶ αἱ πέντε μωραί.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Pente de ēsan ex autōn phronimoi, kai hai pente mōrai.
MATHAYO 25:3 TWMC · Kiswahili
Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua mafuta pamoja nao.
KJV · English
They that were foolish took their lamps, and took no oil with them:
Kigiriki
Αἵτινες μωραί, λαβοῦσαι τὰς λαμπάδας αὐτῶν, οὐκ ἔλαβον μεθ’ ἑαυτῶν ἔλαιον∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Haitines mōrai, labousai tas lampadas autōn, ouk elabon meth’ heautōn elaion;
MATHAYO 25:4 TWMC · Kiswahili
Wenye busara walichukua mafuta katika vyombo vyao pamoja na taa zao.
KJV · English
But the wise took oil in their vessels with their lamps.
Kigiriki
αἱ δὲ φρόνιμοι ἔλαβον ἔλαιον ἐν τοῖς ἀγγείοις αὐτῶν μετὰ τῶν λαμπάδων αὐτῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
hai de phronimoi elabon elaion en tois angeiois autōn meta tōn lampadōn autōn.
MATHAYO 25:5 TWMC · Kiswahili
Bwana arusi alipokawia, wote wakasinzia na kulala.
KJV · English
While the bridegroom tarried, they all slumbered and slept.
Kigiriki
Χρονίζοντος δὲ τοῦ νυμφίου, ἐνύσταξαν πᾶσαι καὶ ἐκάθευδον.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Chronizontos de tou nymphiou, enystaxan pasai kai ekatheudon.
MATHAYO 25:6 TWMC · Kiswahili
Lakini usiku wa manane kelele ikasikika:
‘Tazameni! Bwana arusi anakuja! Tokeni mkamlaki!’
KJV · English
And at midnight there was a cry made, Behold, the bridegroom cometh; go ye out to meet him.
Kigiriki
Μέσης δὲ νυκτὸς κραυγὴ γέγονεν, Ἰδού, ὁ νυμφίος ἔρχεται, ἐξέρχεσθε εἰς ἀπάντησιν αὐτοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Mesēs de nyktos kraugē gegonen, Idou, ho nymphios erchetai, exerchesthe eis apantēsin autou.
MATHAYO 25:7 TWMC · Kiswahili
Ndipo wanawali wote wakaamka na kutengeneza taa zao.
KJV · English
Then all those virgins arose, and trimmed their lamps.
Kigiriki
Τότε ἠγέρθησαν πᾶσαι αἱ παρθένοι ἐκεῖναι, καὶ ἐκόσμησαν τὰς λαμπάδας αὐτῶν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote ēgerthēsan pasai hai parthenoi ekeinai, kai ekosmēsan tas lampadas autōn.
MATHAYO 25:8 TWMC · Kiswahili
Wapumbavu wakawaambia wenye busara, ‘Tupeni sehemu ya mafuta yenu, kwa sababu taa zetu zinazimika.’
KJV · English
And the foolish said unto the wise, Give us of your oil; for our lamps are gone out.
Kigiriki
Αἱ δὲ μωραὶ ταῖς φρονίμοις εἶπον, Δότε ἡμῖν ἐκ τοῦ ἐλαίου ὑμῶν, ὅτι αἱ λαμπάδες ἡμῶν σβέννυνται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hai de mōrai tais phronimois eipon, Dote hēmin ek tou elaiou hymōn, hoti hai lampades hēmōn sbennyntai.
MATHAYO 25:9 TWMC · Kiswahili
Lakini wenye busara wakajibu, ‘Huenda yasitutoshe sisi na ninyi. Afadhali nendeni kwa wauzaji mkajinunulie.’
KJV · English
But the wise answered, saying, Not so ; lest there be not enough for us and you: but go ye rather to them that sell, and buy for yourselves.
Kigiriki
Ἀπεκρίθησαν δὲ αἱ φρόνιμοι, λέγουσαι, Μήποτε οὐκ ἀρκέσῃ ἡμῖν καὶ ὑμῖν∙ πορεύεσθε δὲ μᾶλλον πρὸς τοὺς πωλοῦντας καὶ ἀγοράσατε ἑαυταῖς.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Apekrithēsan de hai phronimoi, legousai, Mēpote ouk arkesē hēmin kai hymin; poreuesthe de mallon pros tous pōlountas kai agorasate heautais.
MATHAYO 25:10 TWMC · Kiswahili
Walipoenda kununua, bwana arusi akafika. Waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye kwenye arusi.
Mlango ukafungwa.
KJV · English
And while they went to buy, the bridegroom came; and they that were ready went in with him to the marriage: and the door was shut.
Kigiriki
Ἀπερχομένων δὲ αὐτῶν ἀγοράσαι, ἦλθεν ὁ νυμφίος∙ καὶ αἱ ἕτοιμοι εἰσῆλθον μετ’ αὐτοῦ εἰς τοὺς γάμους, καὶ ἐκλείσθη ἡ θύρα.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Aperchomenōn de autōn agorasai, ēlthen ho nymphios; kai hai hetoimoi eisēlthon met’ autou eis tous gamous, kai ekleisthē hē thyra.
MATHAYO 25:11 TWMC · Kiswahili
Baadaye wale wanawali wengine wakaja wakisema, ‘Bwana, Bwana, tufungulie!’
KJV · English
Afterward came also the other virgins, saying, Lord, Lord, open to us.
Kigiriki
Ὕστερον δὲ ἔρχονται καὶ αἱ λοιπαὶ παρθένοι, λέγουσαι, Κύριε, κύριε, ἄνοιξον ἡμῖν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hysteron de erchontai kai hai loipai parthenoi, legousai, Kyrie, kyrie, anoixon hēmin.
MATHAYO 25:12 TWMC · Kiswahili
Lakini akajibu, ‘Kwa kweli nawaambia, siwajui.’
KJV · English
But he answered and said, Verily I say unto you, I know you not.
Kigiriki
Ὁ δὲ ἀποκριθεὶς εἶπεν, Ἀμὴν λέγω ὑμῖν, οὐκ οἶδα ὑμᾶς.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de apokritheis eipen, Amēn legō hymin, ouk oida hymas.
MATHAYO 25:13 TWMC · Kiswahili
Basi kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa ambayo Mwana wa Adamu anakuja.
KJV · English
Watch therefore, for ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh.
Kigiriki
Γρηγορεῖτε οὖν, ὅτι οὐκ οἴδατε τὴν ἡμέραν οὐδὲ τὴν ὥραν, ἐν ᾗ ὁ υἱὸς τοῦ ἀνθρώπου ἔρχεται.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Grēgoreite oun, hoti ouk oidate tēn hēmeran oude tēn hōran, en hē ho huios tou anthrōpou erchetai.
MATHAYO 25:14 TWMC · Kiswahili
“Kwa maana ni kama mtu aliyekuwa akisafiri kwenda nchi nyingine. Aliwaita watumishi wake na kuwakabidhi mali yake.
KJV · English
¶ For the kingdom of heaven is as a man travelling into a far country, who called his own servants, and delivered unto them his goods.
Kigiriki
Ὥσπερ γὰρ ἄνθρωπος ἀποδημῶν ἐκάλεσεν τοὺς ἰδίους δούλους, καὶ παρέδωκεν αὐτοῖς τὰ ὑπάρχοντα αὐτοῦ∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hōsper gar anthrōpos apodēmōn ekalesen tous idious doulous, kai paredōken autois ta hyparchonta autou;
MATHAYO 25:15 TWMC · Kiswahili
Mmoja alimpa talanta tano, mwingine mbili, na mwingine moja, kila mmoja kulingana na uwezo wake. Kisha akaondoka mara moja.
KJV · English
And unto one he gave five talents, to another two, and to another one; to every man according to his several ability; and straightway took his journey.
Kigiriki
καὶ ᾧ μὲν ἔδωκεν πέντε τάλαντα, ᾧ δὲ δύο, ᾧ δὲ ἕν, ἑκάστῳ κατὰ τὴν ἰδίαν δύναμιν∙ καὶ ἀπεδήμησεν εὐθέως.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai hō men edōken pente talanta, hō de dyo, hō de hen, hekastō kata tēn idian dynamin; kai apedēmēsen eutheōs.
MATHAYO 25:16 TWMC · Kiswahili
Aliyepokea talanta tano akaenda kufanya biashara nazo, akapata talanta nyingine tano.
KJV · English
Then he that had received the five talents went and traded with the same, and made them other five talents.
Kigiriki
Πορευθεὶς δὲ ὁ τὰ πέντε τάλαντα λαβὼν εἰργάσατο ἐν αὐτοῖς, καὶ ἐποίησεν ἄλλα πέντε τάλαντα.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Poreutheis de ho ta pente talanta labōn eirgasato en autois, kai epoiēsen alla pente talanta.
MATHAYO 25:17 TWMC · Kiswahili
Vivyo hivyo aliyepokea mbili akapata nyingine mbili.
KJV · English
And likewise he that had received two, he also gained other two.
Kigiriki
Ὡσαύτως καὶ ὁ τὰ δύο ἐκέρδησεν καὶ αὐτὸς ἄλλα δύο.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hōsautōs kai ho ta dyo ekerdēsen kai autos alla dyo.
MATHAYO 25:18 TWMC · Kiswahili
Lakini aliyepokea moja akaenda kuchimba ardhini, akaificha fedha ya bwana wake.
KJV · English
But he that had received one went and digged in the earth, and hid his lord’s money.
Kigiriki
Ὁ δὲ τὸ ἓν λαβὼν ἀπελθὼν ὤρυξεν ἐν τῇ γῇ, καὶ ἀπέκρυψεν τὸ ἀργύριον τοῦ κυρίου αὐτοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ho de to hen labōn apelthōn ōryxen en tē gē, kai apekrypsen to argyrion tou kyriou autou.
MATHAYO 25:19 TWMC · Kiswahili
Baada ya muda mrefu, bwana wa watumishi hao akarudi kufanya hesabu nao.
KJV · English
After a long time the lord of those servants cometh, and reckoneth with them.
Kigiriki
Μετὰ δὲ χρόνον πολὺν ἔρχεται ὁ κύριος τῶν δούλων ἐκείνων, καὶ συναίρει μετ’ αὐτῶν λόγον.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Meta de chronon polyn erchetai ho kyrios tōn doulōn ekeinōn, kai synairei met’ autōn logon.
MATHAYO 25:20 TWMC · Kiswahili
Aliyepokea talanta tano akaja na kuleta talanta nyingine tano.
Akasema, ‘Bwana, ulinikabidhi talanta tano. Tazama, nimepata nyingine tano kwa hizo.’
KJV · English
And so he that had received five talents came and brought other five talents, saying, Lord, thou deliveredst unto me five talents: behold, I have gained beside them five talents more.
Kigiriki
Καὶ προσελθὼν ὁ τὰ πέντε τάλαντα λαβὼν προσήνεγκεν ἄλλα πέντε τάλαντα, λέγων, Κύριε, πέντε τάλαντά μοι παρέδωκας∙ ἴδε, ἄλλα πέντε τάλαντα ἐκέρδησα ἐπ’ αὐτοῖς.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai proselthōn ho ta pente talanta labōn prosēnenken alla pente talanta, legōn, Kyrie, pente talanta moi paredōkas; ide, alla pente talanta ekerdēsa ep’ autois.
MATHAYO 25:21 TWMC · Kiswahili
Bwana wake akamwambia, ‘Vema, mtumishi mwema na mwaminifu! Umekuwa mwaminifu katika machache; nitakuweka juu ya mengi. Ingia katika furaha ya bwana wako.’
KJV · English
His lord said unto him, Well done, thou good and faithful servant: thou hast been faithful over a few things, I will make thee ruler over many things: enter thou into the joy of thy lord.
Kigiriki
Ἔφη δὲ αὐτῷ ὁ κύριος αὐτοῦ, Εὖ, δοῦλε ἀγαθὲ καὶ πιστέ, ἐπὶ ὀλίγα ἦς πιστός, ἐπὶ πολλῶν σε καταστήσω∙ εἴσελθε εἰς τὴν χαρὰν τοῦ κυρίου σου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ephē de autō ho kyrios autou, Eu, doule agathe kai piste, epi oliga ēs pistos, epi pollōn se katastēsō; eiselthe eis tēn charan tou kyriou sou.
MATHAYO 25:22 TWMC · Kiswahili
Aliyepokea talanta mbili naye akaja,
akasema, ‘Bwana, ulinikabidhi talanta mbili. Tazama, nimepata nyingine mbili kwa hizo.’
KJV · English
He also that had received two talents came and said, Lord, thou deliveredst unto me two talents: behold, I have gained two other talents beside them.
Kigiriki
Προσελθὼν δὲ καὶ ὁ τὰ δύο τάλαντα λαβὼν εἶπεν, Κύριε, δύο τάλαντά μοι παρέδωκας∙ ἴδε, ἄλλα δύο τάλαντα ἐκέρδησα ἐπ’ αὐτοῖς.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Proselthōn de kai ho ta dyo talanta labōn eipen, Kyrie, dyo talanta moi paredōkas; ide, alla dyo talanta ekerdēsa ep’ autois.
MATHAYO 25:23 TWMC · Kiswahili
Bwana wake akamwambia, ‘Vema, mtumishi mwema na mwaminifu! Umekuwa mwaminifu katika machache; nitakuweka juu ya mengi. Ingia katika furaha ya bwana wako.’
KJV · English
His lord said unto him, Well done, good and faithful servant; thou hast been faithful over a few things, I will make thee ruler over many things: enter thou into the joy of thy lord.
Kigiriki
Ἔφη αὐτῷ ὁ κύριος αὐτοῦ, Εὖ, δοῦλε ἀγαθὲ καὶ πιστέ, ἐπὶ ὀλίγα ἦς πιστός, ἐπὶ πολλῶν σε καταστήσω∙ εἴσελθε εἰς τὴν χαρὰν τοῦ κυρίου σου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Ephē autō ho kyrios autou, Eu, doule agathe kai piste, epi oliga ēs pistos, epi pollōn se katastēsō; eiselthe eis tēn charan tou kyriou sou.
MATHAYO 25:24 TWMC · Kiswahili
Kisha aliyepokea talanta moja akaja,
akasema, ‘Bwana, nilikujua kuwa mtu mkali, unavuna usipopanda na kukusanya usipotawanya mbegu.
KJV · English
Then he which had received the one talent came and said, Lord, I knew thee that thou art an hard man, reaping where thou hast not sown, and gathering where thou hast not strawed:
Kigiriki
Προσελθὼν δὲ καὶ ὁ τὸ ἓν τάλαντον εἰληφὼς εἶπεν, Κύριε, ἔγνων σε ὅτι σκληρὸς εἶ ἄνθρωπος, θερίζων ὅπου οὐκ ἔσπειρας, καὶ συνάγων ὅθεν οὐ διεσκόρπισας∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Proselthōn de kai ho to hen talanton eilēphōs eipen, Kyrie, egnōn se hoti sklēros ei anthrōpos, therizōn hopou ouk espeiras, kai synagōn hothen ou dieskorpisas;
MATHAYO 25:25 TWMC · Kiswahili
Niliogopa, nikaenda kuificha talanta yako ardhini. Tazama, hii ni yako.’
KJV · English
And I was afraid, and went and hid thy talent in the earth: lo, there thou hast that is thine.
Kigiriki
καὶ φοβηθείς, ἀπελθὼν ἔκρυψα τὸ τάλαντόν σου ἐν τῇ γῇ∙ ἴδε, ἔχεις τὸ σόν.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai phobētheis, apelthōn ekrypsa to talanton sou en tē gē; ide, echeis to son.
MATHAYO 25:26 TWMC · Kiswahili
Bwana wake akamjibu, ‘Mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua kwamba ninavuna nisipopanda na kukusanya nisipotawanya?
KJV · English
His lord answered and said unto him, Thou wicked and slothful servant, thou knewest that I reap where I sowed not, and gather where I have not strawed:
Kigiriki
Ἀποκριθεὶς δὲ ὁ κύριος αὐτοῦ εἶπεν αὐτῷ, Πονηρὲ δοῦλε καὶ ὀκνηρέ, ᾔδεις ὅτι θερίζω ὅπου οὐκ ἔσπειρα, καὶ συνάγω ὅθεν οὐ διεσκόρπισα∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Apokritheis de ho kyrios autou eipen autō, Ponēre doule kai oknēre, ēdeis hoti therizō hopou ouk espeira, kai synagō hothen ou dieskorpisa;
MATHAYO 25:27 TWMC · Kiswahili
Basi ulipaswa kuiweka fedha yangu kwa watunza fedha, nami niliporudi ningepokea yangu pamoja na riba.
KJV · English
Thou oughtest therefore to have put my money to the exchangers, and then at my coming I should have received mine own with usury.
Kigiriki
ἔδει οὖν σε βαλεῖν τὸ ἀργύριόν μου τοῖς τραπεζίταις, καὶ ἐλθὼν ἐγὼ ἐκομισάμην ἂν τὸ ἐμὸν σὺν τόκῳ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
edei oun se balein to argyrion mou tois trapezitais, kai elthōn egō ekomisamēn an to emon syn tokō.
MATHAYO 25:28 TWMC · Kiswahili
Kwa hiyo mnyang’anyeni talanta hiyo, mkampe mwenye talanta kumi.
KJV · English
Take therefore the talent from him, and give it unto him which hath ten talents.
Kigiriki
Ἄρατε οὖν ἀπ’ αὐτοῦ τὸ τάλαντον, καὶ δότε τῷ ἔχοντι τὰ δέκα τάλαντα.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Arate oun ap’ autou to talanton, kai dote tō echonti ta deka talanta.
MATHAYO 25:29 TWMC · Kiswahili
Kwa maana kila mwenye kitu ataongezewa, naye atakuwa nacho kwa wingi. Lakini asiye na kitu atanyang’anywa hata kile alicho nacho.
KJV · English
For unto every one that hath shall be given, and he shall have abundance: but from him that hath not shall be taken away even that which he hath.
Kigiriki
Τῷ γὰρ ἔχοντι παντὶ δοθήσεται καὶ περισσευθήσεται∙ ἀπὸ δὲ τοῦ μὴ ἔχοντος, καὶ ὃ ἔχει ἀρθήσεται ἀπ’ αὐτοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tō gar echonti panti dothēsetai kai perisseuthēsetai; apo de tou mē echontos, kai ho echei arthēsetai ap’ autou.
MATHAYO 25:30 TWMC · Kiswahili
Na mtumishi huyu asiyefaa mtupe katika giza la nje. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.’
KJV · English
And cast ye the unprofitable servant into outer darkness: there shall be weeping and gnashing of teeth.
Kigiriki
Καὶ τὸν ἀχρεῖον δοῦλον ἐκβάλετε εἰς τὸ σκότος τὸ ἐξώτερον. Ἐκεῖ ἔσται ὁ κλαυθμὸς καὶ ὁ βρυγμὸς τῶν ὀδόντων.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai ton achreion doulon ekbalete eis to skotos to exōteron. Ekei estai ho klauthmos kai ho brygmos tōn odontōn.
MATHAYO 25:31 TWMC · Kiswahili
“Mwana wa Adamu atakapokuja katika utukufu wake, pamoja na malaika wote watakatifu, ndipo atakapoketi juu ya kiti chake cha enzi cha utukufu.
KJV · English
¶ When the Son of man shall come in his glory, and all the holy angels with him, then shall he sit upon the throne of his glory:
Kigiriki
Ὅταν δὲ ἔλθῃ ὁ υἱὸς τοῦ ἀνθρώπου ἐν τῇ δόξῃ αὐτοῦ, καὶ πάντες οἱ ἅγιοι ἄγγελοι μετ’ αὐτοῦ, τότε καθίσει ἐπὶ θρόνου δόξης αὐτοῦ,
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Hotan de elthē ho huios tou anthrōpou en tē doxē autou, kai pantes hoi hagioi angeloi met’ autou, tote kathisei epi thronou doxēs autou,
MATHAYO 25:32 TWMC · Kiswahili
Mataifa yote yatakusanywa mbele zake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.
KJV · English
And before him shall be gathered all nations: and he shall separate them one from another, as a shepherd divideth his sheep from the goats:
Kigiriki
καὶ συναχθήσεται ἔμπροσθεν αὐτοῦ πάντα τὰ ἔθνη, καὶ ἀφοριεῖ αὐτοὺς ἀπ’ ἀλλήλων, ὥσπερ ὁ ποιμὴν ἀφορίζει τὰ πρόβατα ἀπὸ τῶν ἐρίφων∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai synachthēsetai emprosthen autou panta ta ethnē, kai aphoriei autous ap’ allēlōn, hōsper ho poimēn aphorizei ta probata apo tōn eriphōn;
MATHAYO 25:33 TWMC · Kiswahili
Atawaweka kondoo upande wake wa kulia, na mbuzi upande wa kushoto.
KJV · English
And he shall set the sheep on his right hand, but the goats on the left.
Kigiriki
καὶ στήσει τὰ μὲν πρόβατα ἐκ δεξιῶν αὐτοῦ, τὰ δὲ ἐρίφια ἐξ εὐωνύμων.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
kai stēsei ta men probata ek dexiōn autou, ta de eriphia ex euōnymōn.
MATHAYO 25:34 TWMC · Kiswahili
Ndipo Mfalme atawaambia walio upande wake wa kulia:
‘Njooni, mliobarikiwa na Baba yangu. Urithini Ufalme mliowekewa tayari tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu.
KJV · English
Then shall the King say unto them on his right hand, Come, ye blessed of my Father, inherit the kingdom prepared for you from the foundation of the world:
Kigiriki
Τότε ἐρεῖ ὁ βασιλεὺς τοῖς ἐκ δεξιῶν αὐτοῦ, Δεῦτε, οἱ εὐλογημένοι τοῦ πατρός μου, κληρονομήσατε τὴν ἡτοιμασμένην ὑμῖν βασιλείαν ἀπὸ καταβολῆς κόσμου.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote erei ho basileus tois ek dexiōn autou, Deute, hoi eulogēmenoi tou patros mou, klēronomēsate tēn hētoimasmenēn hymin basileian apo katabolēs kosmou.
MATHAYO 25:35 TWMC · Kiswahili
Kwa maana nilikuwa na njaa, mkanipa chakula.
Nilikuwa na kiu, mkanipa maji ya kunywa.
Nilikuwa mgeni, mkanikaribisha.
KJV · English
For I was an hungred, and ye gave me meat: I was thirsty, and ye gave me drink: I was a stranger, and ye took me in:
Kigiriki
Ἐπείνασα γάρ, καὶ ἐδώκατέ μοι φαγεῖν∙ ἐδίψησα, καὶ ἐποτίσατέ με∙ ξένος ἤμην, καὶ συνηγάγετέ με∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Epeinasa gar, kai edōkate moi phagein; edipsēsa, kai epotisate me; xenos ēmēn, kai synēgagete me;
MATHAYO 25:36 TWMC · Kiswahili
Nilikuwa uchi, mkanivika.
Nilikuwa mgonjwa, mkanitunza.
Nilikuwa gerezani, mkanijia.’
KJV · English
Naked, and ye clothed me: I was sick, and ye visited me: I was in prison, and ye came unto me.
Kigiriki
γυμνός, καὶ περιεβάλετέ με∙ ἠσθένησα, καὶ ἐπεσκέψασθέ με∙ ἐν φυλακῇ ἤμην, καὶ ἤλθετε πρός με.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
gymnos, kai periebalete me; ēsthenēsa, kai epeskepsasthe me; en phylakē ēmēn, kai ēlthete pros me.
MATHAYO 25:37 TWMC · Kiswahili
Ndipo wenye haki watamjibu:
‘Bwana, tulikuona lini ukiwa na njaa tukakulisha, au ukiwa na kiu tukakupa maji ya kunywa?
KJV · English
Then shall the righteous answer him, saying, Lord, when saw we thee an hungred, and fed thee ? or thirsty, and gave thee drink?
Kigiriki
Τότε ἀποκριθήσονται αὐτῷ οἱ δίκαιοι, λέγοντες, Κύριε, πότε σὲ εἴδομεν πεινῶντα, καὶ ἐθρέψαμεν; Ἢ διψῶντα, καὶ ἐποτίσαμεν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote apokrithēsontai autō hoi dikaioi, legontes, Kyrie, pote se eidomen peinōnta, kai ethrepsamen? Ē dipsōnta, kai epotisamen?
MATHAYO 25:38 TWMC · Kiswahili
Tulikuona lini ukiwa mgeni tukakukaribisha, au ukiwa uchi tukakuvika?
KJV · English
When saw we thee a stranger, and took thee in? or naked, and clothed thee ?
Kigiriki
Πότε δέ σε εἴδομεν ξένον, καὶ συνηγάγομεν; Ἢ γυμνόν, καὶ περιεβάλομεν;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Pote de se eidomen xenon, kai synēgagomen? Ē gymnon, kai periebalomen?
MATHAYO 25:39 TWMC · Kiswahili
Tulikuona lini ukiwa mgonjwa au gerezani tukakujia?’
KJV · English
Or when saw we thee sick, or in prison, and came unto thee?
Kigiriki
Πότε δέ σε εἴδομεν ἀσθενῆ, ἢ ἐν φυλακῇ, καὶ ἤλθομεν πρός σε;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Pote de se eidomen asthenē, ē en phylakē, kai ēlthomen pros se?
MATHAYO 25:40 TWMC · Kiswahili
Mfalme atawajibu:
‘Kwa kweli nawaambia, kila mlipomtendea mmoja wa hawa ndugu zangu walio wadogo kabisa, mlinitendea mimi.’
KJV · English
And the King shall answer and say unto them, Verily I say unto you, Inasmuch as ye have done it unto one of the least of these my brethren, ye have done it unto me.
Kigiriki
Καὶ ἀποκριθεὶς ὁ βασιλεὺς ἐρεῖ αὐτοῖς, Ἀμὴν λέγω ὑμῖν, ἐφ’ ὅσον ἐποιήσατε ἑνὶ τούτων τῶν ἀδελφῶν μου τῶν ἐλαχίστων, ἐμοὶ ἐποιήσατε.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai apokritheis ho basileus erei autois, Amēn legō hymin, eph’ hoson epoiēsate heni toutōn tōn adelphōn mou tōn elachistōn, emoi epoiēsate.
MATHAYO 25:41 TWMC · Kiswahili
Kisha atawaambia walio upande wa kushoto:
‘Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele uliowekwa tayari kwa Ibilisi na malaika zake.
KJV · English
Then shall he say also unto them on the left hand, Depart from me, ye cursed, into everlasting fire, prepared for the devil and his angels:
Kigiriki
Τότε ἐρεῖ καὶ τοῖς ἐξ εὐωνύμων, Πορεύεσθε ἀπ’ ἐμοῦ, οἱ κατηραμένοι, εἰς τὸ πῦρ τὸ αἰώνιον, τὸ ἡτοιμασμένον τῷ διαβόλῳ καὶ τοῖς ἀγγέλοις αὐτοῦ.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote erei kai tois ex euōnymōn, Poreuesthe ap’ emou, hoi katēramenoi, eis to pyr to aiōnion, to hētoimasmenon tō diabolō kai tois angelois autou.
MATHAYO 25:42 TWMC · Kiswahili
Kwa maana nilikuwa na njaa, hamkunipa chakula.
Nilikuwa na kiu, hamkunipa maji ya kunywa.
KJV · English
For I was an hungred, and ye gave me no meat: I was thirsty, and ye gave me no drink:
Kigiriki
Ἐπείνασα γάρ, καὶ οὐκ ἐδώκατέ μοι φαγεῖν∙ ἐδίψησα, καὶ οὐκ ἐποτίσατέ με∙
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Epeinasa gar, kai ouk edōkate moi phagein; edipsēsa, kai ouk epotisate me;
MATHAYO 25:43 TWMC · Kiswahili
Nilikuwa mgeni, hamkunikaribisha.
Nilikuwa uchi, hamkunivika.
Nilikuwa mgonjwa na gerezani, hamkunitunza.’
KJV · English
I was a stranger, and ye took me not in: naked, and ye clothed me not: sick, and in prison, and ye visited me not.
Kigiriki
ξένος ἤμην, καὶ οὐ συνηγάγετέ με∙ γυμνός, καὶ οὐ περιεβάλετέ με∙ ἀσθενής, καὶ ἐν φυλακῇ, καὶ οὐκ ἐπεσκέψασθέ με.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
xenos ēmēn, kai ou synēgagete me; gymnos, kai ou periebalete me; asthenēs, kai en phylakē, kai ouk epeskepsasthe me.
MATHAYO 25:44 TWMC · Kiswahili
Ndipo wao pia watamjibu:
‘Bwana, tulikuona lini ukiwa na njaa, au kiu, au mgeni, au uchi, au mgonjwa, au gerezani, tusikuhudumie?’
KJV · English
Then shall they also answer him, saying, Lord, when saw we thee an hungred, or athirst, or a stranger, or naked, or sick, or in prison, and did not minister unto thee?
Kigiriki
Τότε ἀποκριθήσονται καὶ αὐτοί, λέγοντες, Κύριε, πότε σὲ εἴδομεν πεινῶντα, ἢ διψῶντα, ἢ ξένον, ἢ γυμνόν, ἢ ἀσθενῆ, ἢ ἐν φυλακῇ, καὶ οὐ διηκονήσαμέν σοι;
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote apokrithēsontai kai autoi, legontes, Kyrie, pote se eidomen peinōnta, ē dipsōnta, ē xenon, ē gymnon, ē asthenē, ē en phylakē, kai ou diēkonēsamen soi?
MATHAYO 25:45 TWMC · Kiswahili
Ndipo atawajibu:
‘Kwa kweli nawaambia, kila mlipoacha kumtendea mmoja wa hawa walio wadogo kabisa, mliacha kunitendea mimi pia.’
KJV · English
Then shall he answer them, saying, Verily I say unto you, Inasmuch as ye did it not to one of the least of these, ye did it not to me.
Kigiriki
Τότε ἀποκριθήσεται αὐτοῖς, λέγων, Ἀμὴν λέγω ὑμῖν, ἐφ’ ὅσον οὐκ ἐποιήσατε ἑνὶ τούτων τῶν ἐλαχίστων, οὐδὲ ἐμοὶ ἐποιήσατε.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Tote apokrithēsetai autois, legōn, Amēn legō hymin, eph’ hoson ouk epoiēsate heni toutōn tōn elachistōn, oude emoi epoiēsate.
MATHAYO 25:46 TWMC · Kiswahili
Hao wataenda kwenye adhabu ya milele, lakini wenye haki kwenye uzima wa milele.”
KJV · English
And these shall go away into everlasting punishment: but the righteous into life eternal.
Kigiriki
Καὶ ἀπελεύσονται οὗτοι εἰς κόλασιν αἰώνιον∙ οἱ δὲ δίκαιοι εἰς ζωὴν αἰώνιον.
Kigiriki kwa herufi za Kirumi
Kai apeleusontai houtoi eis kolasin aiōnion; hoi de dikaioi eis zōēn aiōnion.